ad

ad

ANGALIA MOYES ALIVYOPOKELEWA HISPANIA KATIKA KAZI YAKE MPYA

 Kocha David Moyes amewasili kwenye Uwanja wa San Sebastian ambao ni uwanja wa nyumbani wa Real Sociedad.

Kocha huyo wa zamani wa Manchester United anatarajia kusaini miezi 18 na kikosi hicho kinachoshiriki La Liga.
Moyes aliwaona wachezaji wakijifua na anatarajia kutambulishwa rasmi kesho Alhamisi.


12 Nov 2014

No comments

Powered by Blogger.