SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DAR
Rapa
kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani kwenye
tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na T.I usiku wa kuamkia leo Ledears Club.
Clifford Harris,'T.I' staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dar.
Msanii
kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akitoa burudani kwenye
Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Ledears Club.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma 'Diamond' (kushoto) na Davido wakiimba Remix ya My Number 1 katika serengeti fiesta 2014.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma 'Diamond' akikamua jukwaani.
Msanii wa Bongo Fleva, Linah Sanga akilishambulia jukwaa.
Linah Sanga na wacheza shoo wake wakiendelea kutoa burudani.
Msanii wa Bongo Flava, Shaa akifanya yake.
Shaa akiwapagawisha mashabiki (hawapo pichani).
Waje kutoka NIgeria akifanya yake.
Victoria Kimani akiwajibika.
Recho akitumbuiza katika Tamasha la Fiesta.
Rachel na wakikata mauno na wacheza shoo wake.
Msanii mahiri wa Bongo Flava, Ali Kiba akiwapagawisha wapenzi wa burudani.
Ali Kiba (kulia) akiwa na mdogo wake Ally Kiba pamoja na Abdul Kiba (kushoto).
Staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' akitumbuiza katika Tamasha la Fiesta.
(PICHA NA MUSA MATEJA, RICHARD BUKOS/GPL)
Post a Comment