WEMA SEPETU ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Beautiful
Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akijiandaa kukata keki yake ya siku
yake ya kuzaliwa iliyofanyika usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake
Kijitonyama.
Wema Isaac Sepetu akiongea na wageni wake (hawapo pichani) kabla ya kukata Ndafu.
Martin Kadinda (kushoto) akimuonesha Wema Sepetu kadi ya gari.
Gari aina ya BMW alilozawadiwa Wema Sepetu na meneja wake Martin Kadinda.
Post a Comment