MESSI ASHEREKEA MIAKA 14 NDANI YA BARCELONA
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina na Barcelona, Lionel Messi.
Picha ya kitambulisho cha Lionel Messi.
Messi amefikisha miaka 14 tokea alipojiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13 akitokea kwao Argentina.
Mkali huyo ambaye sasa ana umri wa miaka 27, amesherekea miaka hiyo
14 mtandaoni kwa kuweka picha ya kitambulisho chake cha kwanza kabisa
Hispania.
Klabu yake pia iliweka kitambulisho hicho mtandaoni kama kumbukumbu.
Tayari Messi ameichezea Barcelona mechi 460 na kushinda makombe
sita ya La Liga, mawili ya Copa de Rey, sita ya Spanish Cup na matatu ya
Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Angalia data zake
Mechi: 460
Mabao: 367
Makombe:
Spanish League (La Liga): 6
Spanish Cup (Copa del Rey): 2
Spanish Supercup: 6
Champions League: 3
FIFA Club World Cup: 2
UEFA Super Cup: 2
Ballon d'Or: 4

Post a Comment