KOLETA AJAZA MATAMBARA KISA UJAUZITO
Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’.
KITUKO! Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond
‘Koleta’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema anapenda ujauzito kiasi
cha kufikia hatua ya kujaza matambara tumboni ili awe na muonekano wa
mjamzito.“Sijui kwa nini na kuna wakati mwingine naweka matambara tumboni naweza kuzunguka nayo siku nzima kama mama mjamzito yaani huwa najicheka mwenyewe,” alisema Koleta huku akidai akitokea mwanaume watakayeendana basi atambebea ujauzito.
Post a Comment