CHUCHU AWACHARUKIA WANAOIPONDA ‘KAPO’ YAO
Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans akiwa na mpenzi wa Vincent Kigosi ‘Ray’.
MALOVEE! Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans,
amewashukia watu wanaoiponda ‘kapo’ yake na mwigizaji Vincent Kigosi
‘Ray’ na kusema hata iweje, mambo yao yatakwenda kama walivyopanga.
Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans.
Chuchu alisema katika maisha ya mwanadamu kama Mungu amepanga kitu
siku zote kitatimia hivyo anaamini wanaopinga uhusiano wao kwa maneno ya
chinichini na kwenye mitandao ya kijamii ni maadui lakini hawatashinda.“Najua kabisa nina maadui wengi sana lakini naamini Mungu atasimama wanaiponda sana ‘kapo’ yetu lakini Mungu akipanga kitu siku zote lazima kitatimia hakuna ubishi,” alisema Chuchu.

Post a Comment