KALALE PEMA - MLAPA NG’OSHA (OFFICIAL VIDEO)
Mojawapo ya picha katika video hiyo.
MSANII wa
muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Gabriel Samalu Ng’osha ‘Mlapa
Ng’osha' ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Kalale Pema'
aliyoelezea maisha ya mateso anayopata mama mjamzito.
Post a Comment