IYOBO WA AUNT: SIJAOA, NIMEZAA TU!
MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses
Iyobo amefunguka kuwa hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na
mwanadada anayeitwa Mwengi.
Staa
wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea uwanja wa ndege.
Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa penzi la mwigizaji
Aunt Ezekiel, alizidi kutiririka kuwa anachukizwa sana na watu
wanavyomuita mume wa mtu wakati bado hajafikiria.
“Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo,” alisema Moses.
“Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo,” alisema Moses.

Post a Comment