VITILIVYOGO (PAPA NA MUHOGO) - 03
Baada ya mazungumzo na kula chakula cha usiku, Shaka aliaga ili arudi nyumbani kwao. Betty alimsindikiza hadi nje ya nyumba yao akiwa amejifunga upande wa khanga na nguo ya ndani tu. Hakutaka kufika mbali kutokana na alivyokuwa amevaa kwani alikuwa anajiandaa kwenda kuoga.
“Shaka kesho basi.”
Shaka alijikuta akijikaza kiume kumweleza kilicho moyoni mwake muda mrefu.
“Samahani mchumba.”
“Bila samahani.”
“Kuna jambo moja linanisumbua muda mrefu.”
“Muda mrefu! Linazidi mwaka?”
“Si mwaka, miaka.”
“Miaka mingapi?”
“Sita.”
“Sita! Jambo gani hilo mchumba?”
“Betty nakupenda sana,” Shaka alijitoa muhanga.
“Jamani kumbe ni hilo, mbona hata mimi nakupenda mchumba.”
“Nataka zaidi ya hilo unalofikiria.”
“Unamaanisha nini?”
“Yaani tuwe wapenzi.”
“Shakaaa!” Betty alijikuta akiangua kicheko mpaka kanga aliyokuwa amejifunga ilimdondoka na kumfanya aidake lakini Shaka alikuwa amefanikiwa kuona nguo ya ndani ya rangi nyeupe.
Kitendo kile kilimfanya Shaka aondoke bila kuaga lakini Betty alimshika mkono na kumrudisha.
“Shaka hebu rudi basi mchumba.”
“Nirudi nifanye nini wakati sina thamani yoyote kwako.”
“Sina maana hiyo, sikutegemea kuniambia neno hilo.”
“Ulitaka nikueleze nini?”
“Shaka upo siriasi au unatania?”
“Betty ningeweza kulisema hili muda mrefu lakini muda ule nilikuwa bado mdogo sana.”
“Sasa umekuwa?”
“Ndiyo.”
“Lakini huoni mimi ni sawa na dada yako?”
“Ni kweli lakini ndiyo mwenzio nimeangukia kwako.”
“Shaka japokuwa mapenzi hayachagui, lakini wewe bado mdogo sana, hata kama nitakupa bado hutafurahia penzi langu kwa vile kuna mtu zaidi ya mmoja ananimiliki.”
“Betty, shida yangu si kushindana na wenye fedha bali kutimiza ndoto yangu ya miaka sita unipe hata sekunde moja.”
“Mmh! Mbona mchumba unipa mtihani!”
“Huu si mtihani, wewe unajua kiasi gani nakupenda.”
“Najua.”
“Sasa basi tatizo lipo wapi?”
“Hivi nikikubali utanipeleka wapi?”
“Nyumba ya wageni.”
“Fedha ya kulipia chumba utaitoa wapi?”
“Betty utashindwa kulipa kwa siku moja?”
“Nikinogewa nani atalipa?”
“Nitajua, nitauza chochote ili kuhakikisha tunarudia hata mara mbili.”
“Mmh! Sawa nimekubali.”
“Sasa lini?”
“Mwisho wa wiki kwa vile bwana’angu atakuwa amekwenda Afrika Kusini kibiashara.”
“Mchumba unaniambia kweli au unanidanganya?”
“Kama wewe unatania basi ni utani kama uko siriasi mi sitanii.”
“Nitafurahi sana.”
“Ila naomba usimwambie mtu nikisikia kwa yoyote ujue urafiki wetu unakufa.”
“Siwezi kumwambia mtu, nimeteseka sana siwezi kupewa tiketi ya peponi nikaipoteza.”
“Hakikisha unakuwa na nguo za kuweza kuingilia hapo tutakapokwenda.”
“Hilo usihofu.”
Baada ya makubaliano waliagana, Betty alirudi ndani na Shaka aliwahi kwao akiwa bado haamini alichoambiwa na Betty.
***
Usiku ulikuwa mrefu kwa Shaka, moyoni hakuamini, alijua Betty amemkubalia ili kumfurahisha tu lakini hakuwa na mapenzi ya kweli kwake. Lakini alijipa moyo kwa kuamini mpaka kuiona nguo ya ndani ya Betty ni dalili nzuri wa kuufikia mwili wake.
Moyoni alijiapia siku akifanikiwa kumpata atajituma muda wote wa mchezo ili awe nyota wa mchezo ili timu ya upinzani iombe mechi ya marudiano. Pamoja na furaha ya kukubaliwa ombi lake la kugawa tenda ya madafu kwa Betty, tatizo likabakia atapata wapi nguo za nguvu za kuweza kuongozana na mwanamke mzuri kama yule.
Washkaji zake wote walikuwa choka mbaya, lakini alikumbuka shuleni alikuwa na mshikaji wake wa karibu, mtoto wa mshua ambaye mara nyingi alikuwa naye karibu kutokana na Shaka kuwa mtu wa utani sana kitu kilichomfanya kuwa naye karibu hata kumpa kampani ndogondogo za shule.
Baada ya kumkumbuka mshkaji wake Issa, alitabasamu na kuvuta shuka, usingizi haukuchelewa kumchukua.
Upande wa pili, Betty baada ya kupanda kitandani alijikuta akijiuliza maswali yasiyo na majibu juu ya neno aliloambiwa na Shaka kwamba anampenda. Siku zote aliamini Shaka anampenda lakini haikuwa kwa ajili ya kuwa wapenzi wa kushea mwili. Aliamini kabisa Shaka alimpenda kama dada yake wala si kama mtu na mpenzi wake.
Alijikuta akitabasamu baada ya kujiuliza siku atakayomvulia nguo ya ndani mvulana mdogo kama Shaka asiye na hadhi itakuwaje? Aliona heri Shaka angekuwa na fedha kidogo mashoga zake wangejua labda alifuata fedha, lakini mtu mwenyewe hakuwa na mbele wala nyuma, pia hata fedha ya shule mara nyingi alimpa yeye ikiwemo kumnunulia shati la shule lililokuwa nimeanza kuchoka na alikuwa na mpango wa kumnunulia viatu na suruali ili naye apendeze.
Siku zote mapenzi ya Shaka aliyachukulia kama mdogo wake ndiyo maana hata wanaume zake aliwatambulisha kama mdogo wake na wao kumwita shemeji. Katika vitu alivyovipenda kwa Shaka, ilikuwa heshima aliyokuwa nayo kwake kwa kuonesha kumpenda na kumheshimu. Lakini si kwa ajili ya kuutaka mwili wake.
Alitabasamu tena na kujiuliza ndiyo siku wanatoka kumpa raha ambazo bado aliamini ataingia hasara kwa vile hawezi kumkidhi haja zake zaidi ya kumpaka shombo.
Alijiuliza shoga zake atawaambia nini au bwana zake wakimfumania naye atawaambia kipi kilichomshawishi kumpa raha yule mtoto.
Alijikuta akiyarudia maneno ya Shaka:
“Samahani mchumba.”
“Bila samahani.”
“Kuna jambo moja linanisumbua muda mrefu.”
“Muda mrefu! Linazidi mwaka?”
“Si mwaka, miaka.”
“Miaka mingapi?”
“Sita.”
“Sita! Jambo gani hilo mchumba?”
“Betty nakupenda sana.”
“Jamani kumbe ni hilo, mbona hata mimi nakupenda mchumba.”
“Nataka zaidi ya hilo unalofikiria.”
“Unamaanisha nini?”
“Yaani tuwe wapenzi.”
Baada ya kuyarudia maneno ya Shaka, alicheka na kujikuta akiona kama si sahihi kumpa mwili wake mvulana mdogo kama yule ambaye hajai hata mkononi. Lakini upande wa pili hakutaka kumuudhi Shaka, kwani kwa upande mwingine alikuwa ni mtu wake wa karibu ambaye alimpa faraja anapokuwa peke yake.
Wazo lilikuwa heri ampie pale nyumbani ili ibakie siri yake na Shaka kuliko kuingia nyumba ya wageni na kijana mdogo kama yule. Wazo la kumpia uroda nyumbani aliamini ni zuri sana kwake, kwa vile ataingia usiku na kutoka usiku bila watu kujua nini kiliendelea.
Alikubaliana na wazo lake na kuamua kujilaza, usingizi haukuchelewa kumchukua.
Siku ya pili Shaka akiwa shule alimfuata mshkaji wake Issa na kumweleza shida yake.
“Vipi unakwenda kwenye shughuli nini?” Issa alimuuliza baada ya kumjua Shaka si mtu wa mademu.
“Kuna mtoto wa geti nataka nikamng’oe.”
“Shakaa, kwa nini pande hilo usinipe mimi mzee wa kuua?”
“Issa utani huo, demu wangu nikupe wewe?”
“Kama hivyo huna pamba kali pia hata mkwanja wa kumpeleka viwanja huna.”
“Issa nimekuomba pamba si kingine, mengine hayakuhusu.”
“Poa mshkaji unataka pamba gani?”
“Yoyote kali.”
“Mguu unao?”
“Nipate wapi, nakutegemea mwanangu unitoe kila kitu.”
“Vipi nikuazime mkoko ukamtese?”
“Siku nyingine, muhimu nilichokuomba leo.”
“Poa tukitoka shule tutakwenda home kuchukua.”
Shaka aliamini zoezi lake gumu lilikuwa limekwisha kilichobakia utekelezaji. Baada ya masomo aliondoka na Issa hadi kwao, alipoingia chumbani kwake alishangaa kukuta kuna ‘stendi ya viatu’ iliyokuwa imejaa viatu vya kila aina.
“Chagua mguu unaoupenda.”
Shaka alichagua raba kali kisha alimfungulia kabati na kumueleza achague nguo anayopenda.
Shaka alichagua nguo ya maana, baada ya kuchagua alimgeukia rafiki yake.
“Asante rafiki yangu.”
“Sasa mwana demu wako hana mwenzake ili unipigie na mimi pande?”
“Nitamuuliza.”
“Yaani kama utanifanyia mpango viwalo hivi nitakupa vyotevyote.”
“Poa mwana, tuliza boli.”
Shaka aliagana na Issa na kurudi nyumbani akiwa na uhakika wa kulipuka mwisho wa wiki na kuweza kwenda popote bila wasiwasi na kuonekana ‘Sharuli baria.’ Alipofika nyumbani alijifungua ndani na kutinga viwalo vyake na kujisifia amependeza.
Alitembea kwa mikogo toka upande mmoja huku akiigiza ameshikana mkono na Betty na kuamini siku hiyo patachimbika bila jembe.
Baada ya zoezi lake kwenda vizuri alijipanga kuisubiri siku ifike ili akaue tembo kwa ubua.
***
Betty baada ya kubadili uamuzi wa kwenda nyumba ya wageni na zoezi lile kufanyikia nyumbani, alipanga kumfanyia sapraiz Shaka ya kumpa penzi ili asijipange na kufanya matangazo.
Shaka bila kujua ndiyo ilikuwa siku yake ya kutimiza ndoto, alikwenda kwa Betty akijua kama kawaida atapiga stori na kurudi nyumbani.
Siku ile alishangaa kukuta nyumbani pale Betty yupo peke yake, tena katika vazi la upande wa kanga ambao ndani haukuwa na kitu na kumfanya Shaka kuwa kwenye wakati mgumu.
“Vipi mchumba mbona upo peke yako?” Shaka aliuliza.
“Bi mkubwa amekwenda kwa dada Kinondoni leo nipo peke yangu, nakuja.” Betty alielekea chumbani kwake.
“Mmh!” Shaka aliguna baada ya kuachiwa mzigo kwa nyuma uliokuwa ukipishana kama umemwagiwa maji ya baridi na kuanza kutetemeka.
Betty alijifanya hakusikia aliendeleza utundu ili kuhakikisha Shaka anapandisha sumu ya mahanjamu.
“Shaka umeshaoga?” alimuuliza baada ya kurudi huku macho yakiwa yamemlegea.
“Bado nikitoka hapa nakwenda kuoga kisha nalala si unajua Dar usiku bila kuoga huwezi kulala.”
“Twende ukaoge nimekuandalia maji bafuni.”
“Hapana mchumba nitaoga nyumbani.”
“Shaka unataka kuniudhi, mimi nani yako?”
“Mchumba wangu.”
“Na ni nani yako sasa hivi?”
“M...pe..pe..nzi wangu,” Shaka alipata kigugumizi cha ghafla.
“Sema mpenzi wangu.”
“Mpenzi wangu.”
“Basi amka ukaoge, si umeyataka mapenzi basi usiyaogope.”
“Sawa mpenzi.”
“Na nguo zako zivulie hapahapa.”
“Aah! Mchumba acha nikavulie bafuni.”
“Unamuogopa nani wakati tupo wawili tu mpenzi?”
Shaka ilibidi awe mpole, alivulia palepale huku kitu kikiwa hewani kama antena ya king’amuzi. Jicho la Betty lilitua kwenye mkonga wa tembo na kujikuta akisisimkwa na mate ya uchu yalimtoka, akajikuta akiisifia kimoyomoyo akishangaa kijana mdogo kuwa na bakora mujarabu.
Aliishika na kumfanya Shaka aruke nyuma na kusema:
“Kweli mambo yako dijitali, naona king’amuzi kinaonesha bila chenga mbona leo nitafaidi mtoto wa kike.”
Alimshika mkono na kuongozana naye, wakati huo mkono wa Shaka haukucheza mbali na kambi ya jeshi ili kumtuliza. Baada ya kumwacha bafuni alitoka mara moja.
Baada ya muda Betty alirudi, alipofika mlangoni alisukuma mlango na kumfanya Shaka atoe sauti.
“Mchumba bado naoga.”
“Tatizo nini?” Betty alisema huku akiingia bafuni bila kitu mwilini.
Shaka alipofumbua macho alishtuka kuuuona mwili wa Betty bila kitu kwa mara ya kwanza. Hakutegemea kumuona Betty kuwa vile siku ile, alitegemea kuuona siku ya kuua tembo kwa ubua.
Mshtuko alioupata ulisababisha mnazi kuanguka chini, Betty alioga pamoja na Shaka. Baada ya kuoga alimfuta maji kisha alimshika mkono na kumpeleka chumbani kwake ambako Shaka katika siku zote alizowahi kufika pale hakuwahi kuingia chumbani kwa Betty.
Shaka alishtuka kuona akiingizwa chumbani na kukuta kitanda kimetandikwa vizuri, kilikuwa chumba cha thamani ambacho hakuwahi kuingia. Betty alimkalisha kitandani na kushangaa kuuona mnazi wa Shaka umelala.
“Vipi mpenzi mbona mnazi umelala?”
“Hata sijui!”
Alimwacha na kwenda kuchukua mafuta ya masaji na kuacha sehemu ya ‘plate number’ za nyuma ikisomeka kwa usahihi. Shaka pamoja na uchu bado hakuamini kama ile ndiyo siku waliyokubaliana.
Yeye alijua makubaliano ni mwisho wa wiki na kwenye nyumba ya wageni. Muda wote alikuwa kama yupo ndotoni na mshtuko aliopata ulisababisha mnazi kulala na kupoteza kujiamini kabisa.
Muda wote aliangalia chini kama mwari aliyekuwa akisubiri kufichuliwa. Moyo ulimuuma kuona anapoteza kujiamini siku ya ahadi.
Betty baada ya kuchukua mafuta mepesi alimlaza kifudifudi na kuanza kumchua taratibu kiungo kimoja kimoja. Wakati akijua anamuandaa mwenzake, Shaka alikuwa mbali na kujiuliza mbona hakumtaarifu mapema ajiandae kuliko kumshtukiza vile.
Baada ya kumaliza kumchua mgongoni alimgeuza na kuanza kumchua mbele. Lakini alishtuka kuona mnazi umeendelea kulala. Alipojaribu kuushtua bado ulikuwa umelala dolo.
Alijaribu kuuchua mnazi ili usimame aweze kuyafaidi madafu ya mnazi mchanga ulionekana una madafu matamu lakini alijikuta akitumia muda mwingi bila mafanikio huku jasho la uchu likimtoka. Alijikuta akijipaka upupu bila mkunaji.
“Shaka vipi?” ilibidi amuulize baada ya kuona hakuna dalili zozote za mnazi kunyanyuka, mtalimbo ulikuwa umelala dolo.
“Hata mi nashangaa,” Shaka alijibu huku aibu ikiwa imemtawala.
“Unashangaa nini, unajijua una matatizo umenitaka ili iweje? Leo hii nipo kwetu ingekuwa nyumba ya wageni gharama zangu ungezilipa?”
“Samahani mchumba, mwanzo ulikuwa na nguvu nashangaa umelala ghafla.”
“Una mpenzi?” Betty alimuuliza huku akimtazama kwa hasira.
Shaka kwa kuhofia kuonekana malaya alikataa.
“Sina.”
“Hujawahi kuwa na mwanamke?” alimuuliza akiwa amemkazia macho.
“Ndi...ndii...yooo.”
“Sasa kama hujawahi kuwa na mwanamke uliwezaje kunitongoza, ikiwa wanuka mikojo wenzio umewashindwa?” Betty alisema kwa hasira huku ameishikilia bakora mkononi iliyokuwa imetulia kama haijui muda ule ilitakiwa ifanye nini.
“Nilikuwa naye nikaachana naye.”
“Shaka kweli ulishawahi kufanya mapenzi na mwanamke?” Betty alimuuliza huku akifuta jasho kwa kiganja cha mkono lililokuwa likimvuja.
“Ndiyo.”
“Huna matatizo?”
ANGALIZO: ITAENDELEAMPAKA MWISHO HAPA KAMA SHARE ZITAFIKA 3,000 NA COMMENT 2,000 VINGINEVYO MTAMALIZIA KATIKA KITABU
INGIA HAPA NA USHARE ==>www.facebook.com/2jiachie

Post a Comment