ad

ad

Ushawahi Kumuona Rihanna Akinuna,Hizi Picha Akitazama Game Ya Baskek Aliyocheza Chris Brown

Kwenye summer classic Charity basketball match ya mwaka 2014 ambayo inaleta pamoja mastaa wa sanaa tofauti kucheza mechi na kuchangisha pesa, Rihanna alikuwa miongoni mwa mastaa wa muziki waliohdhuria game ya basket iliyochezwa na Chris Brown.
Vyanzo vya habari vingine vinasema Rihanna hakujua kama Chris Brown anacheza mechi hio na baada ya kumuona Rihanna aliweka sura tofauti kama vile hajamuona na hana time naye kitu ambacho kiligundulika na watu waliokaa karibu na BadGal Riri.
RI1 RI2 RI3 RI4 RI5 Ri6  Ri8 Ri9

No comments

Powered by Blogger.