TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 LAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI MWANZA
Staa
wa muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' akilitawala
jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la
tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza
lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea kwenye miji
mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki..
Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara Wema Sepetu a.k.a shemeji nae akajiunga kumpa sapoti mpenzi wake jukwaani
Mmoja
wa wasanii anaefanya vyema kwa sasa katika anga ya muziki wa bongofleva
Vanessa Mdee a.k.a V Money akitumbuiza mbele ya maelfu ya wakazi wa
jiji la Mwanza (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi kushuhudia
mrindimo wa tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba
jijini humo,tamasha hilo limefanyika mwishoni mwa wiki.
Mmoja
wa wasanii anaefanya vyema kwa sasa kupitia wimbo wake mpya wa Ole
Themba akiwa chini ya Kampuni mpya ya No Fake Zone,Linah Sanga
akitumbuiza mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza (hawapo pichani)
waliojitokeza kwa wingi kushuhudia mrindimo wa tamasha la Serengeti
Fiesta ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba lililofanyika mwishoni mwa wiki.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014 lililoanza
rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014 lililoanza
rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014 lililoanza
rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Wasanii
wa kundi la Tanikando Group kutoka Igoma, Mwanza nao wakionesha umahiri
wao kupamba onesho la muziki la Serengeti fiesta 2014 lililofanyika
mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini humo na
kuhudhuriwa na maelfu ya wapenzi na washabiki wa tamasha hilo.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakishangilia
baada ya kukongwa na burudani wakati wa tamasha la Serengeti fiesta 2014
lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni
mwa wiki.



Sehemu ya Wasanii wa bongofleva waliofanya vyema katika tamasha la Fiesta 2014 kupitia shindano la Serengeti fiesta 2014 Supa Nyota.

Msanii wa bongofleva anayekuja kwa kasi katika mchakato wa kuchanganya nyimbo za asili na za kizazi kipya kutoka Bukoba,BK Sande akiimba wimbo wake mpya uitwa OMWANA mbele ya Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014 lililozinduliwa jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Hivi ndivyo wakazi wa Jiji la Mwanza walivyojitokeza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza.

Msanii wa Bongofleva kutoka Mo Music akiimba jukwaani
Utulivu ulikuwepo wa kutosha ndani ya tamasha la Fiesta 2014 huku umati mkubwa ukishuhudia uzinduzi wa tamasha hilo jijini Mwanza katika viwanja vya CCM Kirumba,mwishoni mwa wiki.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young De, akifanya vitu vyake ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba wakati wa tamasha la Serengeti fiesta 2014, lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza.
Umakini na mitambo ya kutosha kuwapa burudani isiyo nakikomo kwa wakazi wa jiji la Mwanza.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakishangilia
baada ya kukongwa na burudani wakati wa tamasha la Serengeri fiesta
lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa
wiki.Tamasha hilo wiki hii litaendelea katika miji ya Bukoba na kahama.
Pichani
kushoto ni Msanii kutoka ndani ya jiji la Mwanza.Young killer akiwa na
msanii mwenzake amkimpa tafu kulishambulia jukwaa vilivyo
Wadau wakuu wa tamasha hilo wakifurahia jambo

Msanii wa bongo fleva, Mr Blue akikonga nyoyo za umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza katika Uwanja wa CCM Kirumba katika tamasha la Serengeti fiesta mwishoni mwa wiki ndani ya uwanaja wa ccm kirumba.

Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ndani ya tamasha la Serengeri fiesta lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki,tamasha hilo wiki hii litaendelea katika miji ya Bukoba na kahama.
Vijana wa Mkubwa Fella,Yamoto Band wakilishambulia jukwaa.
Mkamua ngoma wa Diamond,Romy jones akifanya vitu vyake wakati Diamond akitumbuiza jukwaani.
Diamond
na Ney wa Mitego wakioneshana umwamba wa kuwateka mashabiki kila mmoja
kwa staili yake,huku miluzi na Shangwe ikiwa imetawala ndani ya uwanja























Post a Comment