Rais Kikwete akiongoza kikao cha majumuisho baada ya kutembekea Mkoa wa Morogoro.
Rais
Kikwete akiongea kwenye kikao hicho. Kulia ni Mbunge wa Mvomero na
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akifuatiwa na Mbunge wa Morogoro
kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent
Kalogeris.
Watendaji wa kada mbalimbali wa mkoa wa Morogoro katika kikao hicho cha majumuisho.
Sehemu ya Wabunge wa mkoa wa Morogoro kwenye kikao hicho
Wabunge wa mkoa wa Morogoro kikaoni hapo
Watendaji wa mkoa wa Morogoro wakiwa kikaoni
Mmoja wa wajumbe wa kikao akielezea jambo
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera akimshukuru Rais Kikwete kwa kufanya ziara mkoani mwake
Mkuu wa Mkoa wa Mororogo akielezwa jambo na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mhe Eliya Ntandu
Rais
Kikwete akimsikiliza Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla wakati wa
kikao hicho. Katikati ni Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris
Rais Kikwete akiongea na Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla
Rais Kikwete akitoka nje ya ukumbi baada ya kuhitimisha kikao cha majumuisho
Rais Kikwete akiagana na Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla
Post a Comment