NANE NANE ARUSHA YAFANA, MATUKIO YOTE YAPO HAPA
Maonyesho ya kilimo maarufu kama nanenane kanda ya kazini kufikiwa kikomo, huku mabanda mengi yakionyesha kufanya vizuri zaidi eneo la Arena, Taso ndio wamiliki wa maeneo ya maonyesho hayo kanda ya kaskazini, Fuatana na muandishi wetu Alioko ndani ya viwanja hivyo jiji Arusha, picha za mabanda na huduma mbalimbali za elimu sina zinaendelea kutolewa kwa watembeleaji viwanja hivyo.
( PUNGUZOLA BEI KWA NANE NANE BONYEZA TANGAZO HILI CHINI UJIONEE)
Banda la Redio 5 Arusha, likiendelea na matangazo mbalimbali, kwenye maonyesho ya kilimo kanda ya kaskazini, Huku wafanyakazi wakipeana majukumu ya kazi hapa ni kazi mwendo mdundo.
Umati wa watu wakizidi kumiminika nanenane huku wengine wakishek kwa picha za pozi.
Ofisi za Taso kanda ya kaskazini.
Rasilimali watu wakiimba nyimbo za injili na vyombo ya kuokoteza, hawa ni walemavu wanaoomba misaada kwa watu lakini kwa kupiga mziki na watu kuwatunza hii ndio nanenane.
Makundi ya wanafunzi wakimfuata mvaa mangongo marefu maarufu ngongoti.
Banda la halmashauri ya jiji la Arusha wakiendelea kutoa huduma za Afya na mafundisho mbalimbali.
Banda la KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI
Wajasilia mali, matrekta made in Tanzania.
Banda la TRA wahudumu wakiendelea kutoa huduma jinsi mashine za kisiasa za risiti zinavyofanya kazi
Pima afya yako na tiba asili, ushauri.
Tija na utafiti wa wakulima wakielimisha.
Banda la Tanga fresh likitoa huduma kwa wateja
Banda la vinywaji vinavyotengezwa nchini na wahudumu wakipata picha ya pamoja full kujiachia.
Maji ni uhai,mjasilia Mali wa kiwanda kipya cha maji jijini Arusha Akitabulisha Product yake.
Watengezaji wa farniture pia walikuwepo.
Banda la sido na baadhi ya wahudumu wakitambulisha product zao.
Watoa huduma ya umeme wa soller wakiwaelimisha wateja Faida ya soller
NGURUMO YA UPAKO RADIO NAO WALIKUWEPO, CHEZEA NENO LA MUNGU WEWE.
TATA HOLDING na Banda la huduna ya dawa mbalimbali pia walikuwepo.
WAKIONYESHA TYRE ZA MATREKTA YA KILIMO, WATU NI WENGI WALIOTEMBELEA
BANDA HUKU ENGENEER WA UFUNDI MR.MAJEGERO AKITOA ELIMU YA MATAIRI KWA WATEMBEAJI.
Banda la bank ya Akiba.
ACB BANK NAO WAPO
Banda la TCCL Wahudumu wako buzz kutoa elimu.
Exam Bank wakiendelea kutoa huduma ndani ya viwanja vya Taso nanenane jijini Arusha.
Wajasiliamali wakinadi kazi zao hawa ni watengezaji ( wafumaji wa masweta).
Watengezaji wa product ya ngozi itokanayo na ng'ombe na mbuzi.
Watengezaji wa product ya ngozi itokanayo na ng'ombe na mbuzi.
PICHA NA MWANDISHI WETU, 2JIACHIE - ARUSHA












































.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Post a Comment