MZIWANDA: SHILOLE AMENIPA MWANGA KATIKA MAPENZI
STAA wa Bongo Fleva, Nuh Naftari Mlawa ‘Nuh’
amefunguka ya moyoni kuhusiana na kipaji chake na kusema kuwa ‘sexy
lady’ wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ndiye aliyempa mwanga
kunako gemu ya Bongo Fleva.
“Zamani nilikuwa nafanya muziki lakini nyota yangu haikung’aa kihivyo, baada ya kumpata Shilole nyota zetu zikaonekana kuwa sawa hivyo nikang’aa japo mapenzi ndiyo yaliyotuunganisha,” alisema Mziwanda.
Nuhu Mziwanda akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.
Akikisanua kupitia Global TV Online juzikati, Mziwanda alimshukuru
Shilole na kuongeza pia kujichora kwake mchoro mkononi wenye jina la
bidada huyo ni kuweka historia kuwa alishawahi kutokea mtu wa muhimu
maishani mwake.“Zamani nilikuwa nafanya muziki lakini nyota yangu haikung’aa kihivyo, baada ya kumpata Shilole nyota zetu zikaonekana kuwa sawa hivyo nikang’aa japo mapenzi ndiyo yaliyotuunganisha,” alisema Mziwanda.
Post a Comment