ad

ad

MSANII WA BONGO MOVIE APAGAWA NA YEMI ALADE



MUIGIZAJI wa filamu Bongo Husna Idd ‘Sajenti’ juzi kati katika Tamasha la Matumaini alionekana kupagawa na songi la mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Yemi Alade kiasi ambacho hakujivunga kuserebuka naye.
Muigizaji wa filamu Bongo Husna Idd ‘Sajenti’  akicheza pamoja na staa wa muziki toka Nigeria Yemi Alade.
“Dah! Sio siri huyu mwanamuziki amenijua kuniamsha mashetani yangu, kile kitu cha Johny sio mchezo lazima upagawe,” alisikika akisema Sajenti.
OFA OFA YA MAGARI PUNGUZO LA BEI KI-LICK TANGAZO CHINI
Diva wa muziki kutoka Nigeria, Yemi Alade akimtafuta Johnny.…
Tamasha la Usiku wa matumaini huandaliwa kila mwaka na kampuni ya Global Publishers likiwa na nia ya kuwapa watu matumaini katika maisha yao sambamba na kuchangia ujenzi wa mabweni ya shele za sekondari.

No comments

Powered by Blogger.