MASTAA WA HIP HOP MAREKANI WANAVYOACHANA, KAMA NJUGU MAWE
Future na Ciara.
VITENDO cha wanamuziki maarafu duniani kuchumbiana, kuzalishana na kisha kuachana katika muda mfupi vimezidi kuchukua kasi.
Tyga na Black Chyna.
Habari kutoka mtandao wa TMZ zinaelezea jinsi
mapenzi ya rapa maarufu duniani, Future na Tyga walivyotengana na ‘ma
baby’ zao muda mfupi tu baada ya kujipatia watoto.Inavyoonesha, huo umekuwa mtindo wa mastaa wengine wakubwa kufanya vitendo kama hivyo.
Future na Ciara waliitikisa dunia kwa mapenzi yao motomoto, lakini hali si shwari sasa baada ya kupata mtoto pamoja, wameshasambaratika. Hivyo hivyo inaonekana kwa rapa mwengine toka Young Money Crew ‘Tyga’ na mchumba wake Black Chyna walioachana karibuni.

Post a Comment