KANISA LA KAKOBE LATIMIZA MIAKA 25, WASHEREKEA SIKU YA LEO
Waaumini toka sehemu mbalimba ya nchi ya Tanzania wakiwa katika
maandamano maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kushoto ni
askari polisi akiangalia usalama.
Askofu Kakobe akitembea kwa miguu pamoja na waumini wa sehemu mbalimbali ya Tanzania.
Askofu Mkuu Zakary Kakobe pamoja na maaskofu wa mbalimbali wa kanisa
hilo wakipiga makofi baada ya kuingia maeneo ya kanisani.
Waumini wa kanisa la Full Gosple Bible Fellowship wakiwa katika maandamano.
Waumini wakiwa katika eneo la kanisa.
Waumini wakiwa katika maandamano.
Sherehe hizo zilihudhuriwa na waumini zaidi ya 5,000 kutoka mikoa na wilaya mbalimbali za Tanzania na maandamano hayo yalianzia Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mpaka makao makuu ya kanisa hilo Barabara ya Sam Nujoma.
PICHA NA 2JIACHIE, DAR
Post a Comment