BREAKING NEWS: DEREVA WA YANGA AFARIKI
Marehemu Maulid Kiula enzi za uhai wake.
Uongozi wa
klabu ya Young Africans unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Dereva
wa Basi Kubwa la Wachezaji (Yutong) Bw Maulid Kiula kilichotokea
alfajiri ya leo Ilala jijini Dar es salaam.
Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu mtaa wa Chunya karibu na Bungoni Ilala jijini Dar es salaam.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi Amen.
Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu mtaa wa Chunya karibu na Bungoni Ilala jijini Dar es salaam.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi Amen.

Post a Comment