TOROJO BAMIA (Winga teleza) - 11
Aliamua kutoka nje ili Lily amuone, baada ya kusimama mbele ya gari Lily alitoka mbio na kwenda kijitupa kifuani kwa Shuku na kuanza kulia.
“Vipi bebi?”
Shuku alimuuliza.
“Si huyu mshamba kaja hapa namwambia simtaki ananilazimisha na kuanza kunitukana eti mi malaya tena muathirika kwa vile tu nimemkataa.”
“Basi bebi, ingia kwenye gari nikakuliwaze.”
Lily aliingia kwenye gari na kutulia huku akiendelea kufuta machozi.
“Pole sana bebi.”
“Asante, lakini bebi naomba unihamishe huku.”
“Kila kitu kitakwenda vizuri usiwe na wasi.”
Shuku aliondoa gari kwa mbwembwe huku watu wakipiga miruzi. Wakiwa barabara ya Mandela baada ya kutoka vetenari Lily alikuwa kama anazinduka usingizini.
“Ooh! Bebi yaani yule mpumbavu kasababisha nishindwe kujimwaga mtoto wa kike. Bebi unatisha bonge la gari, umewafunika wote wavimba macho, mbona mwaka huu watakoma.”
“Huu ni mwanzo kuna gari la milioni mia tano ambalo siwezi kulileta kwenye vumbi.”
“Bebi si umesema atanijengea Masaki?”
“Ndiyo maana yake.”
“Yaani nitafurahi ile mbaya.”
“Wewe tu.”
“Mimi si umeona nimempiga chini jamaa kama naua nyani sijamuangalia usoni na mwisho akaanza kashifa zisizo na msingi mpaka watu wakamshangaa.”
Walipofika Tabata gari lilingia kwenye geti na kujikuta akiingia kwenye Jumba la kifahari. Baada ya kuteremka alimkaribisha ndani ya nyumba.
“Karibu mpenzi.”
“Wawoooo bebi unatisha, lazima nijisifu nina bahati kumpata mwanaume anayenipenda tena mwenye uwezo kufuru.”
“Wewe tu kutulia kula raha.”
Walipoingia sebuleni walikumkuta MJ amejilaza kwenye sofa akitazama filamu.
“Ooh! Mkubwa karibu,” MJ alijinyanyua na kukaa kitako.
“Asante, mpenzi karibu sana hapa ndipo petu. Huyu ni ndugu yangu ambaye tupo hapa pamoja.”
“Asante kukufahamu,” Lily alisema huku akitabasamu.
“Mkuu, huyu ndiye mamaa Lily anayenirusha akili kila kukicha.”,
“Wawoo lazima uchanganyikiwe Lily ana kila sababu ya kukuchanganya umejua kulenga. Karibu sana shemeji yangu wa ukwee.., karibu ujisikie upo home,” MJ alimkaribisha Lily huku alimthaminisha, kweli alikuwa mwanamke mzuri mwenye kila sababu ya kuitwa mrembo lakini kwake alikuwa wa kawaida kutokana na kukutana na watoto wengi wakali kumshinda Lily.
“Asante shemeji.”
“Tupo chumbani,” Shuku hakutaka kupoteza muda walielekea chumbani.
“Poa mkuu.”
“Shemu baadaye,” Lily aliaga na yeye.
“Hakuna tatizo,” MJ alijibu huku akimpiga jicho la wizi.
Walielekea chumbani huku MJ akiwasindikiza kwa macho na kuzidi kumtathimini Lily kwa nyuma. Aligundua makalio ya Lily hayakuchosha kuyatazama hayakuwa makubwa sana yenye kukinaisha wala madogo yenye kuchusha.
Aliamini ulimbukeni wa Shuku ndiyo uliomfanya achanganyikiwe. Lakini kwake angegonga na kutimua zake labda siku moja moja kwa vile maumbile mengine kama ya Lily yalikuwa hayachoshi kuyarudia.
Shuku baada ya kuingia chumbani kwake Lily alikuwa bado haamini.
“Bebi hii nyumba yako?”
“Bebi sipendi maswali hayo, mambo yangu unayatakia nini?” Shuku alikuwa mkali kidogo.
“Samahani bebi kama nimekukosea,” Lily aliomba msamaha.
“Jana tulilala wapi?”
“Hotelini.”
“Kwa nini hukuhoji kama Hoteli nimeinunua.”
“Basi bebi nisamehe sana.”
“Siyo nikusamehe, wee kula raha mengine hayakuhusu.”
“Nimekuelewa bebi wangu.”
Siku ile walishinda pale jioni walikwenda Maisha club, walirudi saa saba usiku na kulala mpaka siku ya pili. Siku ile Lily alishinda tena huku siku ile Shuku akimpeleka kumnunulia nguo kwa ajili ya kubadili ili jioni wajitupe kiwanja kingine.
MJ alibidi amwite Swahibu wake na kumueleza:
“Kaka vipi umeoa kabisa?”
“Kwani vipi?”
“Tumekubaliana nini?”
“Lakini mbona ni jana na leo kesho anarudi kwao.”
“Shuku, si unajua mi mzee wa kubadilio mademu, demu wako akiona anafikiri atanifikiriaje?”
“Kweli.”
“Sikukatazi kula starehe zako, ruksa kuja naye mara moja au mnalala kisha anakwenda kwao, kama unataka kutumia muda mwingi wa kuwa na mpenzi wako nitakupa fedha ya kukaa naye hata mwenzi mzima hoteli yoyote uitakayo lakini hapa tunagonga na kuondoa.”
“Nimekuelewa mkubwa.”
“Ila ukitaka gari lolote chukua na chochote fanya la muhimu fuata ninavyotaka ili twende sawa.”
“Poa hakuna noma jioni atasepa.”
“Siyo asepe kama bado una ugwadu naye, unaweza kwenda kulala naye hoteli yoyote.”
“Hakuna tatizo.”
Jioni ya siku ile baada ya kutoka Billis Shuku na mpenzi wake walikwenda kulala hotelini kitu kilichomfanya Lily ahoji.
“Vipi bebi leo mbona tumelala huku?”
“Kwani pabaya.”
“Siyo pabaya, kwa nini uharibu fedha bila sababu?”
“Nyumbani mzee wamekuja.”
“Si ingekuwa vizuri niwatambue wakwe zangu.”
“Si vizuri kwa mila ya Kiafrika mzazi akutambue bila kutambulishwa kwanza kabla ya kukuona.”
“Mmh! Sawa, wanaondoka lini?”
“Nitakujulisha kwa vile tupo pamoja.”
Shuku alianza kuona kama mambo yake yanaweza kwenda ndivyo sivyo na demu wake kugundua siri ile na kumpiga chini. Lakini ilikuwa tofauti na MJ yeye hakupenda mwanamke mmoja akae pale kwa muda mrefu angeweza kugundua mambo yake mengi ya hatari ambayo hakutaka mtu mwingine ajue zaidi ya Shuku.
Ilibidi akubaliane na masharti ya rafiki yake ya kumleta mpenzi wake na kuondoka ili kumpa nafasi MJ kuingiza mademu wake kwa kuwabadili atakavyo. Kwa vile Lily alipewa uhuru wa kwenda pale wakati wowote, kila alipojisikia alifika kwa Shuku kukidhi haja zake muda wa mchana kabla ya kutoka usiku kwenda viwanja.
Akiwa amekaa sebuleni peke yake MJ wakitazama DVD ya filamu, Lily aliingia akiwa katika vazi la utata lililokuwa ‘transpalent’ lilimrusha roho MJ na kumuona Lily kila siku alikuwa mpya kwake.
Alipofika alikwenda moja kwa moja alipokaa na kumlalia huku akimpiga mabusu mfurulizo.
“Mmmmmmwa, shemeji langu hilo.”
“Asante,” busu la Lily lilimsisimua MJ na kujikuta akitamani kitu kwa muda ule, kama Shuku asingekuwa mtu wake wa karibu kwa jinsi Lily alivyokuwa siku ile alikuwa yupo radhi kuvunja benki kwa kiasi chochote ili alionje joto lake. Lakini bahati mbaya kisu kilikuwa kimegusa mfupa hivyo alikubali kula kwa macho hasa akizingatia yule mwanamke alikuwa amemrusha akili swahibu wake Shuku.
Siku zote MJ hakukubali kuteswa na mwanamke alikuwa yupo radhi kuhonga hata gari ili ampate hasa mademu na wake za marafiki zake. Lakini kwa Shuku aliona pale si sawa hasa baada ya kumkaribisha mwenyewe hakukuwa na haja ya kupimana ubavu na nguvu zake mwenyewe. Alikubali kula kwa macho japo siku ile naye alipagawishwa sana na Lily.
“Mambo shemu?” Lily alimuuliza akiwa amemshika mabegani huku akimtazama kwa jicho lililohitaji msaada wa mwanaume shababi.
“Poa tu shemu, karibu,” MJ alijitutumua.
“Asante,” Lily alijibu akiwa bado amemkalia MJ.
“Hongera sana umependeza.”
“Asante, vipi babaa yupo?”
“Kaingia ndani muda si mrefu amesema anasikia usingizini, kwani hajui kama unakuja?” MJ alimuuliza huku macho yake yakitua katika kifua kilichojaa sawa bin sawia na kuzidisha uzuri wa mrembo aliyekuwa mbele yake.
“Hajui, nimeamua kumfanyia surprise.”
“Haya mama kazi ni kwako.”
“Siyo kwangu kwetu wote, badae,” Lily alisema huku akinyanyuka na kuondoka kuelekea chumbani kwa Shuku akitembelea vidole kwa kuchanganya miguu kwa madaha kuwahi chumbani.
MJ alijikuta akimtazama Lily kwa nyuma jinsi maumbile ya nyuma yalivyokuwa yakitetemeka kama yanasikia baridi kali la Njombe. Alitikisa kichwa na kusema kwa sauti ya chini:
“Kweli Shuku anafaidi.”
Kwa mara ya kwanza alifahamu kilichomdatisha rafiki yake Shuku kwa Lily, mrembo alikuwa na vigezo vyote vya kumchanganya mwanaume. Baada ya kumfikiria sana Lily, aliyahamisha mawazo yake na kutazama kwenye kioo kitazama picha iliyokuwa imefika mbali kutokana na kumtazama sana Lily.
Baada ya muda alijikuta akiwaza wazo la kijinga kwenda kupiga chabo dirishani kwa Shuku ili aone unyambulikaji wa mwili wa Lily kwenye uwanja mfupi anautendea haki au ndiyo analala kama nyoka mkubwa aliyeshiba baada ya kumeza mbuzi hata kujitikisa hawezi.
Alitoka hadi nje na kuzunguka nyuma ya nyumba hadi kwenye dirisha na kufanikiwa kuona ndani. Alipofika alikuta ngoma inogile mtoto wa kike akitumia wepesi wa nyonga yake kutawala dimba la kati kitu kilichozidi kuongeza mateso kwa MJ.
Aligundua uwezo mkubwa wa Lily katika mapenzi tofauti na wanawake wengi. Alijituma muda wote wa mchezo huku akifurahia mchezo kitu kilichomfanya MJ naye nje kwenda na muvu ya goli baada ya Lily kuwatambuka mabeki na kumpiga chenga golikipa na goli kubakia wazi.
Mzee nzima nje bila kujijua anasugua kichwa ukutani wakati akikwea mnazi makavu bila kupenda wakati huo alikuwa anateremka juu ya mnazi naye taratibu alikaa chini huku akizidi kuusugua uso wake ukutani na kumpa jeraha upande wa kushoto wa uso kwake.
Baada ya bomba la maji kukata alinyanyuka alikuwa amekaa na kukimbilia ndani ili wasimkute akitoka nje kwani alikuwa kama kaangukia banda la kuku kwa jinsi alivyojichafua na ute wa yai.
Alikwenda moja kwa moja bafuni kujiswafi alipojimwagia maji alisikia maumivu makali sehemu ya kushoto ya uso, alisogea kwenye kioo na kujitazama na kugundua amechubuka usoni, kama ilivyokuwa kwa Shuku siku alipompiga chabo MJ naye alitabasamu na kumalizia kuoga na kujipaka dawa ya kupuliza kwenye kidonda na kurudi sebuleni.
Moyoni alijiapiza lazima naye aanguke na Lily hakuwa tayari kuteswa vile wakati aliyeshika mpini. Siku zote aliamini anaye kula vizuri ni mwenye mali na mpambe hula makombo.
Akiwa katikati ya mawazo juu ya uzuri na uwezo wa shemeji yake katika mapenzi, mara alitoka Lily peke yake na kusogea alipokaa na kumkalia kwenye mapaja.
“Shemu mi nakimbia,” alimwambia kwa sauti ya kudeka.
“Haya bibie, mbona peke yako?”
“Kuna sehemu nakwenda nitarudi kesho hivyo nilikuja kujaza mafuta ili gari lisizimike huko niendako.”
“Haya mama, kwa hiyo Shuku anafanya nini?”
“Nimemuacha amelala, nimemchezesha tokomile bila filimbi yupo hoi kalala.”
“Naona, sasa hebu subiri,” MJ alisema huku akinyanyuka kwenye sofa.
“Sawa shemu,” Lily alikubali na kusubiri alichoelezwa akimtazama Mj aliyeelekea chumbani kwake.
MJ alikwenda hadi chumbani kwake na kuchukua mkufu wa bei mbaya na kumletea Lily.
“Shemu zawadi yako.”
Lily alifungua na kukutana na mkufu wa bei mbaya ambao aliwahi kuuona kwa shoga yake alionunuliwa na basha wake wa Kiarabu wa milioni mbili na nusu.
“Wawooo shemu,” alisema huku akimrukia na kumkumbatia kwa furaha.
“Asante sana shemu, umeniazima au umenipa?”
“Shemu kipi cha ajabu?”
“Hapana.. hii zawadi kubwa sana kupewa na shemeji yangu.”
“Ya kawaida hapo nje umeona magari ya thamani gani?”
“Kubwa sana, kwani mali hii ya nani maana Shuku nilimuuliza akawa mkali.”
“La muhimu ni kupokea tu si kujua mali ya nani hii ni mali yetu.”
“Asante shemu, yaani unaonekana una upendo mkubwa sana kwangu kwa kunipa zawadi kubwa kama hii,” Lily alisema akiwa anautazama mkufu kwa kuuning’iniza.
“Kwangu hiyo ni ndogo sana, una gari?” MJ alitupa turufu nyingine.
“Si..si..na ila bebi alisema ataninunulia.”
“Achana na bebi wako, unazungumza na mimi, una gari?’”
“Sina shemu.”
“Unapendelea gari la aina gani?”
“Lolote la kike.”
“Basi kesho nitakupigia nikueleze uje wapi ili nawe umiliki gari lako.”
“Shuku akiniuliza nimjibu nini?”
“We mkubwa sasa, ukila na kipofu ushimshike mkono.”
“Nimekuelewa, nije na Shuku?”
“Hapana shemu njoo peke yako sitaki Shuku ajue ili siku moja umfanyie surprise.”
“Na hii cheni?”
“Hata hiyo usimwambie, hebu nisubiri nje nakuja.”
Lily alitoka nje akiwa hamuelewi shemeji yake, moyoni alijisemea:
“Kama amezimikia flagi shauri yake, Shuku si mume wangu wa ndoa kama akiingia kichwa kichwa namnyoa bila maji.”
Alitangulia hadi nje kusubiri alichoambiwa asubiri, baada ya muda MJ alirudi na bahasha la kaki lililokuwa na fedha za kutosha.
“Kaisabie nyumbani kuna namba yangu ya simu utanipigia kwa wakati wako.”
“Asante, shemu naomba basi unirudishe nyumbani,” Lily baada ya kuona MJ amechanganyikiwa alideka.
“Hakuna tatizo, unapendelea gari gani?”
“Lolote yote mazuri.”
MJ alichukua Jeep na kumrudisha Lily nyumbani, njiani Lily alizidi kumfanyia visa MJ na kumchanya muda wote koo limcheze kama mtu aliyekuwa na kiu kikali aliyehitaji msaada wa maji.
Alipomfishisha Lily kabla ya kuteremka alimbusu Mj na kumvutia kwake na kukutanisha midomo na kumpa uhuru wa kubadilishana mate. Walitulia huku MJ akipandwa na mzuka na kuanza kutembeza mikono yake katika mwili wa Lily, lakini Lily alimuwahi na kujitoa na kusema:
“Tosha kwa leo shemu.”
“Kwa hiyo siku nyingine?”
“Wewe tu.”
“Au leo?”
“Hapana ni haraka sana.”
“Lily sema unataka kiasi gani ili usiku wa leo niwe na wewe?”
“Chochote utakacho taka kunipa.”
“Kwa hiyo jioni ya leo tutakuwa wote?”
“Mmh! Lakini sio kwenu.”
“Tunakwenda hotel yoyote unayotaka.”
“Sawa, na kuhusu Gari?”
“Tukitoka hotelini tunapitia kwenye show room.”
“Wawooo, yaani nakuahidi kukupa penzi ambalo hujawahi kupewa, sasa itakuwa kwa Shuku?”
“Endelea naye penzi, letu litakuwa la siri tukiwa pamoja unakuwa upande wa Shuku, ila tukiwa wawili kama kawaida.”
“Nimekusoma, kwa hiyo jioni inakuwaje?”
“Nitakujulisha nitakupitia.”
“Hakuna tatizo, bai bebiii.”
“Bai.”
Lily alifungua mlango wa gari na kutoka nje na kumuwacha MJ akimsindikiza kwa macho. Lily alichepua mwendo kukimbilia ndani akiwa amekumbatia mfuko wa fedha.
****
Lily alipofika ndani aliingia chumbani kwake na kuzimwaga zile fedha kitandani na kuanza kujimwagia mifedha ambayo hakujua hesabu yake. Baada ya kuoga fedha alinyanyuka na kuzikusanya kisha alianza kuzihesabu. Kila alivyohesabu alipofika katikati alisahau alirudia zaidi ya mara tatu na kuamua kuzirudisha kwenye mfuko na kuziweka ndani ya kabati na kujilaza kitandani akiwaza bahati ya mtende iliyomwangukia.
Akiwa amejilaza alijishika kifuani na kujiuliza kwa sauti kama anazungumza na mtu.
“Mimi Lilian siamini, yaani kesho na mimi nitatembelea gari langu, mbona wavimba macho wa mtaa watanikoma. Yaani nitakavyompa mapenzi motomoto leo lazima achanganyikiwe mtoto wa kike nitajituma mwanzo mwisho.”
Alikwenda kwenye kabati na kuchangua nguo ya kuvaa jioni akitoka na MJ mtu aliyempagawisha na mijizawadi ya kumwaga. Moyoni alikuwa na maswali magumu yasiyo na majibu kuhusu kuutoa mwili wake kwa ndugu wa Shuku.
“Watajijua mwenyewe, kwani yeye hakujua nipo na ndugu yake shauri yao na tamaa zao. Mi nifanye nini, la muhimu hiyo kesho nipate hilo gari,” Lily alizungumza kama anazungumza na mtu kwa sauti ya chini.
“Shauri yao mwenye kisu kikali ndiye atakaye kula nyama, Shuku kwa uwezo wake alimnyang’anya Tony na sasa MJ akitoa dau kubwa kumshinda ndugu yake naachia ngazi si mume wangu hata kama angekuwa mume wangu mapenzi masilahi...mmh! Lakini Shuku akijua ndugu yake natoka naye sijui itakuwaje..Sasa mimi nifanye nini eti msomaji?”
Lily alijilaza kusubiri muda ili akutane na MJ na kumpa machejo ya mtu mzima kwenda dukani si mtoto, si unaukumbuka ule usemi mtoto hatumwi dukani.
***
Majira ya saa mbili usiku MJ alisimamisha gari mbele ya nyumba ya kina Lily. Alipiga honi na kumfanya Lily aliyekuwa amejiandaa toka saa kumi na moja na kumsubiri kwa hamu kutoka mbio na kwenda kumkumbatia MJ aliyekuwa nje ya Hummer.
“Waawoo bebiii.”
“Waawoo my love.”
Walikumbatiana kwa mapenzi mazito.
“Mmh! Umependeza,” MJ alimsifia Lily.
“Asante, lakini kawaida yangu.”
“Unaona eeh, halafu mtoto mzuri kama wewe unatembea kwa miguu.”
“Nitafanyaje bebii?” Lily alisema kwa sauti ya kudeka akiwa amemlalia MJ kifuani na kuchezea ndevu chache chini ya kidevu.
“Tatizo kuwapenda wachovu.”
“Jamani bebi Shuku mchovu?”
“Sijasema hivyo.”
“Sasa mchovu gani, wa zamani nimeishampiga chini, sasa hivi ananiona muislamu na banda la nguruwe.”
“Watu sahihi kwa wanawake wazuri ni watu kama sisi.”
“Si ndiyo maana nipo na Shuku?”
”Toka uanze kuwa na Shuku amekupa nini?”
“Mmh! Kwa kweli vitu vya kawaida tofauti na wewe hatujaanza umeonesha matusi yako. Sijui baada ya mwezi nitakuwa wapi?”
“Nataka niyabadilishe maisha yako kabisa,” MJ alisema huku akimshika kiunoni na kuingia ndani ya gari baada ya kuwasha gari na kuliondoa alimgeukia Lily baada ya kuulizwa swali ambalo hakupenda kuulizwa na mtu yeyote juu ya mali yake na Shuku.
“Kwani hii mali ya jumba na magari ya kifahari ni ya nani?”
“Yetu sote,” alimficha.
“Sasa mbona wewe si bahiri kama mwenzako?”
“Ndo maana nilikuambia ulitakiwa kuangukia katika mikono salama kama hii.”
“Nimekuelewa mpenzi.”
“Tena ukijituma kama unavyompa penzi Shuku si muda mrefu nitakujengea na jumba la kifahari.”
“Shuku! Nilimpaje?” Lily alishtuka kusikia vile.
“Mpaka kupagawa una mpa penzi la kitoto?”
“Mmh! Nimejua kumbe kila tukiachana anakuja kukueleza, basi shauri yake kauza mpango wa wizi kwa polisi.”
“Una maana gani?”
“Si umeelezwa uwezo wangu wa mapenzi, sasa hata akijua atamlaumu nani?”
“Hawezi kujua, penzi letu lazima liwe la siri wewe endelea na jamaa, nikikuhitaji nitakuwa nakujulisha tunafanya mambo yetu bila jamaa kujua.”
“MJ yaani niwatumikie wanaume wa nyumba moja kwa nini nisimpige chini Shuku niendelee na wewe?”
“Hapana, sitaki kugombana na ndugu yangu kwa ajili ya mwanamke.”
“Kwa hiyo mi nitakuwa chombo cha starehe kwenu?”
"Siyo chombo cha starehe, wee endelea na mpenzi wako lakini kila nilichokuahidi nitakupatia.”
“Mmh! Haya.”
MJ alipunguza mwendo wa gari ili kuingia Sea Cliff hotel, baada ya kulisimamisha gari eneo la maegesho, MJ alimweleza Lily amsubiri.
“Nisubiri ndani ya gari.”
“Hakuna tatizo.”
MJ aliteremka na kwenye gari yake na kuelekea kwenye vyumba kwa ajili ya kwenda kuchukua chumba kwa ajili ya kupumzika na mtoto mzuri, ambaye moto wake ulimshtua baada ya kumuona ajituma kwa Shuku na kutaka kuuota. Baada ya kuchukua chumba alitoka na kufunga gari kisha alitangulia na Lily alimfuata nyuma.
Walikwenda hadi chumbani, walipofika MJ alimkaribisha kuonesha ni mzoefu wa starehe tofauti na Shuku.
“Karibu mrembo.”
“Asante mpenzi.”
MJ alimbeba juujuu hadi kitandani na kumtupia, baada ya kumtupia kitandani hakumpa nafasi alianza kashikashi za kuutembeza ulimi na mikono ambao uligusa sehemu muhimu na kumchanganya mtoto wa kike na kuona tofauti ya Shuku na MJ ambaye alionekana mtaalamu katika medani ile.
Baada ya mshuke mshike uliomfanya Lily apasue dafu likiwa juu ya mti bila kudondoka chini. Lily aliomba wakaoge.
“Mpenzi mwezio tayari, naomba nikaoge kwanza,” Lily alisema kwa sauti ya mafua.
“Hakuna tatizo.”
Walikwenda kuoga pamoja huku Lily akitumia muda mwingi kujipanga jinsi ya kukabiliana na MJ kwa moto aliouonesha kabla ya mchezo. Uwezo alioonesha MJ baada ya kumshika kitandani kulimtisha na kujiandaa asiadhirike.
Kuna jamaa aliishawahi kunieleza kuna timu iligoma kuingia uwanjani baada ya kuwakuta wapinzani wao wametangulia na kuanza kupasha misuli. Kupasha misuri tu wakakausha majani, wapinzani wakajiuliza kupasha wamekausha majani mechi si watachimbua mpaka udongo kwa hiyo wakagoma kucheza.
Pamoja na hofu ya uwezo wa MJ bado gari aliitaka aliapa kufia kitandani lakini ahakikishe wakiamka asubuhi breki ya kwanza show room kuchagua gari. Aliogopa kulianzishia bafuni kwa kuogopa mshikemshike wa MJ aliamini angeliswa chozi la pili hivyo angepunguzwa uwezo kukabiriana naye.
Baada ya kufika kitandani walendeleana kupashana joto huku Lily akirudi mchezoni kwa kurudisha mashambulizi na kuweza kusawazisha bao kwa kumliza MJ kilio kisicho na msiba.
Baada tui kuchemka uliwekwa mchele na shughuli pevu ilianza. Hukuwepo ila shetani wako alikuwepo, mtoto wa kike alijituma muda wote kila mpira alicheza yeye, kutupa kupiga goli kiki kona penalti vyote yeye. MJ hakuwa na kazi kubwa zaidi ya kumalizia mipira yote ya mwisho.
Mpaka wanapumzika kila mmoja alikuwa hoi huku MJ akiwa ametiwa wazimu na uwezo wa Lily katika medani ya uroda.
“Wacha jamaa achanganyikiwa mambo unayaweza,” MJ alimwambia Lily.
“Kwani nduguyo anachanganyikiwa madogo,” Lily alijibu huku akijigeuza na kulalia tumbo na kuiacha nundu iliyonona juu na kumfanya MJ ameze mate ya hamu, lakini hakuwa na uwezo wa kuendelea alikuwa amechemka na kuendelea kula kwa macho, ‘mdomo wataka kula maungo yaona woga.’
Pamoja na kujituma sana Lily aligundua tofauti ya MJ na Shuku katika medani ya uroda. Shuku alikuwa na nguvu alipomshika mwanamke alimkamua tui mpaka machicha ya nazi yakabakia meupe.
MJ alikuwa akichemka hata kasi yake ya kupiga kasia ilikuwa ndogo tofauti na Shuku, Lily ilibidi atumie mtindo wa kujihudumia mwenyewe bila hivyo angeumbuka baada ya kumuona MJ rigwaride limemshinda.
Kwa vile walikuwa wamechoka walijilaza ili kupumzika kabla ya kupata chakula cha usiku.
ITAENDELEA KESHO HAPAHAPA
KAMA ULIKOSA SEHEMU ZA NYUMA SOMAHAPA
SOMA SEHEU YA KWANZA >>>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-01.html
SEHEMU YA 2: ==>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-02.html
SEHEMU YA 3:==>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-03.html
SEHEMU YA 4:==>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-04.html
SEHEMU YA 5==>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-05.html
SEHEMU YA 6: ==>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-06.html
SEHEMU YA 7==>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-07.htm
SEHEMU YA 8==>www.2jiachie.com/2014/07/torojo-bamia-winga-teleza-08.html
SEHEMU YA 9==>www.2jiachie.com/2014/07/torojo-bamia-winga-teleza-09.html
SEHEMU YA 10 ==>www.2jiachie.com/2014/07/torojo-bamia-winga-teleza-10.html
:: SHARE nyingi na COMMENT bila kusahau LIKE ndizo zinafanya Chombezo hili kuwa likitoka kila siku na kwa muda muafaka hapa www.facebook.com/2jiachie pekee. Hakika si ya kukosa hii.
Wanaotakiwa kusoma chombezo hili ni kuanzia +18 tu!
Hairuhusiwi kunakili. Au kutoa hata neno kuhamishia kwenye kitabu,tamthiliya ama wall ya facebook,twitter,whatsapp na sehemu nyingine pasipo idhini ya 2JIAHIE utashitakiwa!!.

Post a Comment