ad

ad

MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA RAIA WA BRAZIL ATUA DAR

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Geilson Santos Santana 'Jaja' raia wa Brazil tayari ametua nchini kwa ajili ya kujiunga na Yanga.

Jaja anatarajia kumalizia mazungumzo na kesho atasaini mkataba na Yanga.
Mshambuliaji huyo ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kupokelewa na Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto.

No comments

Powered by Blogger.