WAKAZI WA SONGEA WASHUHUDIA BURUDANI YA KILI MUSIC TOUR
Wakazi
wa Songea wakishuhudia burudani toka kwa wakali wa muziki nchini katika
tamasha la Kili Music Tour katika uwanja wa Majimaji Songea.
Diamond Platnumz akithibitisha kwa nini alipata tuzo saba katika tuzo za Kili.
Baada ya makelele mengi ya mashabiki Diamond alimpandisha mpenzi wake, Wema Sepetu na kucheza nae.
Mkali mziki wa wa R&B, Ben Pol akiwapa burudani mashabiki.
Profesa Jay akitoa burudani.

Post a Comment