TUZO ZA WATU: VOTE FOR MARIAM TZW1 KWENDA 15678
Imebaki leo na kesho tu mchakato wa kupiga kura ufungwe. Bado unaweza kumwezesha mimi na kipindi cha Hatua tatu kuibuka mshindi kwa kuendelea kupiga kura yako kwa wingi, andika TZW1 MARYAM kwenda 15678 na TZW2 HATUA TATU kwenda 15678 au piga kura online www.tuzozetu.com/vote Sapoti yako inahitajika ili kufanikisha ushindi. #TuzoZaWatu #VoteForMaryam #VoteForHatuaTatu

Post a Comment