ad

ad

TOROJO BAMIA (Winga teleza) - 07


“Lakini dada usisahau muosha huoshwa, kwa kweli hata mimi sikufurahi siku ile ulivyomdhalilisha Shuku.”
“Lakini kwa wakati ule ningemuweka wapi na hali yake ile hata angetupwa jalalani asingeliwa na paka?”
Hizo nyodo zako ndizo zilizokuponda, shoga una maneno ya shombo lakini leo umepatikana. Basi leo umepata pa kumweka na yeye amekukosa pa kukuweka.”
“Mmh! Kweli usimdharau mtu hujui kesho atakuwaje.”
Suzy hata kijiweni alishindwa kukaa kwa aibu alikwenda chumbani kwake na kujifungia ndani kwa aibu ya mwaka iliyompata kwa kudhalilishwa na mtu aliyemdhalilisha.
****
Shuku kitendo cha kupapatikiwa Suzy kilimpa kichwa kilichomfurahisha zaidi kitendo cha kumuadhili Suzy aliyejifanya queen wa mtaa. Baada ya kumtimulia vumbi na kuondoka moyo wake ulifurahi sana na kuamini kweli malipo yapo duniani kesho hesabu.
Aliamua kupitia maeneo ya Temeke Mkoroshini kwa yule msichana aliyempagawisha. Alipofika pale alikuwa ndiyo anaingia kwenye gari la mshefa wake na kuondoka. Alipanga siku ya pili awahi mapema ili aweze na yeye kutangaza ufalme wake. Aliamua kurudi nyumbani kupumzika, alipofika nyumbani alimkuta MJ anataka kutoka akiwa na binti mmoja mdogo aliyeonekana mwanafunzi ya sekondari lakini alikuwa na mgongo wa haja. Alijiuliza kipi kinachomfanya Mj apende wanawake wenye migongo mikubwa au alikuwa na ajenda nayo.
“Vipi mzee unatoka nini?”
“Ndiyo maana yake, shemeji yako huyu anaitwa Mamu.”
“Asante, mambo shemu?” Shuku alimsalimia demu wa rafiki yake aliyekuwa amejilaza kifuani kwa Shuku.
“Poa,” alijibu huku akimwemwesa midomo na kumfanya Shuku ateseke na kutamani MJ angempa yule.
“Sasa?”
“Mi ndo naingia kupumzika nimechoka.”
“Acha ushamba hapa ni raha kwenda mbele badili nguo tunaondoka pamoja nataka leo nikupeleke viwanja ulijue jiji.”
“Kwani shemu mgeni?” Mamu aliuliza.
“Mwenyeji ila anaogopa jiji.”
Shuku hakujibu kitu aliingia ndani na kujimwagia maji kisha alibadili nguo za kutokea kisha alitoka na MJ katika gari moja kwenda viwanja.
“Twende Bills,” MJ alimwambia Shuku aliyekuwa dereva MJ na demu wake walikaa siti ya nyuma.
“Bills ndiyo wapi tena?” Bills lilikuwa jina geni kwa Shuku aliyezoea disco vumbi.
“Jamani mbona unaniangusha Best.”
“Sasa kama sehemu siijui niende tu si ndiyo utanicheka.”
“Bilicanas.”
“Kumbe ndiyo Bills.”
“Kwa kifupi, ukirudia mara ya pili watakucheka.”
“Siogopi kuchekwa ipo siku wanaonicheka nami nitawacheka, kama nilivyomtoa leo mtu shoo.”
“Wacha wee, uswazi nini?”
“Nitakupa kituko baadaye.”
Shuku aliiwasha na kuelekea Bills, muda ulikuwa umekwenda sana ilikuwa saa tatu na nusu usiku. Walifika majira ya saa nne usiku Bills na kuingia ndani ambako kulikuwa kuna shoo ya Twanga.
Walipanda juu na kutafuta sehemu nzuri na kuagiza vinywaji, muziki ulipokolea Mj na demu wake waliteremka chini kusugua kisigino. Shuku yeye alitulia huku akinywa bia yake taratibu, alitembeza macho yake ndani ya ukumbini na kushangaa kuona kila mwanamke mle ndani alikuwa mzuri sana.
Moyoni aliamini alichokiamini siku zote mwenye fedha ndiye mwenye haki ya kula na kuishi maisha mazuri hata kufanya anavyotaka. Pamoja na kupewa uhuru wa kufanya lolote lakini kikwazo kilikuwa kutegemea kila kitu, alijiuliza kama atamtongoza mwanamke na kumuomba fedha itabidi amuombe MJ kitu ambacho aliamini atakuwa anajidhalilisha.
Alinyanyuka na kuelekea msalani, alipokuwa akielekea msalani macho yake yalipatwa na mshtuko. Msichana aliyeutesa moyo wake asubuhi alikuwa akitoka msalani huku akiremkebisha nguo yake iliyopanda sana hadi nguo ya ndani kuonekana.
Alishangaa kumkuta na yeye yupo mule akila raha , alijikuta mateso ya asubuhi yakianza upya. Yule msichana aliponyanyua macho alikutana na Shuku aliyemtumbulia macho kama fundi saa. Alimkuta Shuku macho yamemtoka pima alicheka na kusema:
“Kaka yangu acha kuangalia sana nguo zinaweza kudondoka ukawa kipofu,” alimminya jicho na kutabasamu na kuachana naye kurudi ukumbini.
Shuku alijikuta akienda mbele huku akiangalia nyuma na kujikuta akiuvaa ukuta kitu kilichomfanya yule msichana aseme.
“Wee kaka jamani, poleee.”
Yule msichana alirudi hadi alipokuwa amesimama Shuku na kumshika sehemu aliyojigonga na kujishika kwa mkono.
“Jamani kaka yangu nini tena? Kipi cha ajabu umekiona kwangu?”
“Wee acha toka asubuhi unanitesa,” Shuku alimtoka bila kujielewa vibia viwili vilimpa ujasili.
“Makubwa, mimi nimekutesa toka asubuhi, mbona ndo tunaonana?”
“Ipo siku utajua tu.”
“Mmh! Haya kwaheri eeeh,” alisema yule msichana huku akiondoka kwa mwendo wa madaha na kuzidi kumuweka Shuku kwenye wakati mbaya kiasi cha kutamani kulia ili aonewe huruma.
Baada ya kujisaidia alijikuta akitafuta sehemu aliyokaa yule msichana, hakuwa mbali na meza aliyokuwa. Alikaa usawa wa kutazamana yule msichana kila aliponyanyua uso alikutana na yule msichana ambaye kila walipotazamana alimkonyeza na kumbusu busu la hewani ambalo lilimchanganya sana Shuku ambaye ili kupoza mateso alijikuta akinywa pombe nyingi na kuanza kuona giza kiasi cha kushindwa kuona mbele.
MJ aliporudi alimkuta mshikaji wake kalewa sana, kwa vile muda ulikuwa umekwenda alimnyanyua na kurudi naye nyumbani. Alipomfikisha nyumbani alimwingiza chumbani kwake na kumlaza kitandani na kushangazwa na rafiki yake kunywa pombe kiasi kile.
Siku ya pili baada ya kurudi kupata supu Mj alimuuliza rafiki yake:
“Shuku jana umeniaibisha unywaji gani ule?”
“Wee acha tu rafiki yangu nilichanganyikiwa sana.”
“Unachanganyikiwa nini wakati fedha ninayo hukutakiwa kunywa pombe vile kama kwenye sherehe, najua umezoea pombe za uswahilini. Kwa kweli sipendi unywe tena kama vile.”
“Kaka wala si sababu unayofikiria,” Shuku alijitetea.
“Kipi kilichokufanya unywe kiasi cha kupoteza kumbukumbu, kibaya zaidi ulikuwa unalia eti umaskini mbaya. Shuku rafiki yangu nimekunyanyasa?” MJ alimuuliza kwa maskitiko.
“Hapana.”
“Sasa kipi kilichokufanya umwage machozi huku ukilalamikia umaskini, Shuku nimekupa uhuru wa kufanya kila kitu bila kukuingilia, nikufanye nini rafiki yangu?”
“MJ umefika mbali sana wala mimi siku huko, yaliyonichanganya nikikueleza utacheka mwenyewe.”
“Yapi hayo tena?”
“Unajua mkasa wangu unaanzia jana asubuhi kabla ya kuonana na wewe mwokozi wangu.”
“Mkasa gani?”
Shuku alimueleza yaliyomkutanayo jana yake asubuhi kutokana na kunyanyaswa na mwanamke mmoja ambaye aliamini asingeweza kumpata labda ndotoni, na hiyo ilitokana na msichana mmoja aliyewahi kumtoa nishai mtaani kutokana na kuonekana pangu pakavu tia mchuzi, ambaye jana yake naye alilipa kiasi cha kumfanyia kitu mbaya.
“Basi jana Bills si ndiyo wakati nakwenda msalani nikakutana naye uso kwa uso.”
“Wewe! Ehe ikawaje?”
“Mambo aliyonifanyia yalinichanganya nilipotoka msalani si nikaa karibu na alipokuwa amekaa na jamaa mmoja kila tulipokutanisha macho alinibusu busu la hewani hapo ndugu yangu nilizidi kuchanganyikiwa na kujikuta kupoza mateso yale si ndiyo nikaanza kufakamia mipombe bila kujijua.”
“Ina maana demu mkali sana?”
“Kwa upande wangu ni mkali sijui wewe ukimuona.”
“Anawazidi mademu wangu?”
“Siwezi kumlinganisha na wa kwako kwa vile bado ni chaguo langu si la kwako.”
“Unasema alikuwa na jamaa?”
“Ndiyo.”
“Jamaa ana mikuki?”
“Mbuzi hawezi kukufikia wewe unatisha mwanangu.”
“Basi kama mchovu demu tunachukua.”
“Atakubali?”
“Kwa maelekezo yako demu kaelekea kibra anatakiwa kutia kisu tumchinje.”
“Tutamchinjaje naye ana mtu wake?”
“Fedha ni kila kitu, kama leo utamuona niite uone tutafanya nini?”
“Mmh! Sawa MJ.”
“Shuku usituone tuna majina makubwa mjini, umatemate ndiyo kila kitu.”
“Nikimpata nitachanganyikiwa.”
“Mwanamke yeyote tumkimtaka ndugu yangu hapindui, labda leo usiku asije.”
“Mmh! Nikimpata nitakuwa kama umeninunulia Vogue.”
“Shuku! Demu mwenyewe yupoje mbona kakuchanganya sana?”
“Utamuona si mzuri kivile basi tu kanichanganya ile mbaya, hata mgongo laini kama mchicha.”
“Unakwenda nini?”
“Walaa, basi tu katokea kunichanganya tu.”
“Basi usiku tutamuona.”
Wakiwa katikati ya mazungumzo simu ya MJ iliita aliipokea na kuzungumza kwa sauti:
“Haloo Baby..eeh nipo utanikuta...wewe njoo siwezi kutoka...Poa.”
MJ baada ya kukata simu alimgeukia Shuku aliyekuwa amejilaza kwenye kochi akisikiliza muziki huku akimsikiliza MJ na majigambo yake.
“Shuku ngoja uone chombo cha haja ndipo ujue mwenye umatemate anakula vyote vitamu.”
“Demu mwingine?”
“Unauliza shombo kwenye samaki, mi ndo MJ bwana, kila mtoto mzuri mjini ananijua mimi nani?”
“Basi inawezekana hata ninayemtaka nimempitia?”
“Sijui tutamuona jioni, kama ni mmoja wa mademu niliowapitia nitakuachia kwa vile ninao wengi.”
Wakiwa katikati ya mazungumzo kengele ya mlangoni iliita. MJ alifungua kwa rimoti, mlango ulifunguka na kuingia msichana ambaye hakuwa mgeni machoni kwa Shuku, alikumbuka aliwahi kumuona kwenye tivii au kwenye magazeti.
“Wawooo ma baby,” MJ alinyanyuka kumpokea yule msichana mwenye umbile la kimis.
“Kwenda huko unipendi wala nini, hujawahi kunipigia simu hata siku moja mpaka nikupigie.”
“Sasa mama unataka nikupigie hata ukiwa na mheshimiwa.”
“Basi hata kunibeep?”
“Kukubeep mtu kama mimi ni aibu, hata huyo mheshimiwa namheshimu kwa vile ni rafiki yangu pia ni mtu mkubwa serikalini. Lakini hafiki hata nusu ya uwezo wangu nilionao.”
“Haya baba umeshinda.”“Karibu mpenzi mmerudi lini?”
“Jana usiku, nimekukumbuka sana mpenzi wangu nikasema leo silali mpaka nije niutafune muhogo wangu.”
“Hakuna tatizo mama nimejaa tele, jamaa yupo wapi?”
“Amekwenda Ikulu ana kikao na mkuu wa nchi na kesho tunakwenda tena Uingereza kula kuku.”
“Jilie mama, utakula kaburini?”
“Ndiyo maana yake, kainmgia kichwakichwa nami namnyoa bila huruma.”
“Wewe alikuacha wapi?”
“Hotelini, hataki hata niende nyumbani bwana yule ana wivu kama dume la mbwa.”
“Sasa akirudi na kukukosa?”
“Hawezi kurudi sasa hivi kikao ni kizito, kapigiwa simu na mkuu wa nchi na kutakiwa arudi haraka bila hivyo bado tulikuwa na wiki mbili za kula fedha za walala hoi.”
“Haya mama.”
“Siyo haya mama, nataka ukazikamue zote za muda wote ambao hatukuwa pamoja.”
“Na mzee akitaka?”
“Hii siyo juu yako, nitajua nifanye nini?”
“Haya mama elekea mwenyewe juu ya kizimba nikute shingo umeinyonyoa kabisa manyoya nikifika mi nachinja tu.”
“Wewe nani kakwambia mi mwanamke wa usiku asiojua maandalizi, ukikutana naye anadandia na kupiga pedeli na kumwaga mzigo. Siyo mimi, tena leo kwanza unitandike kama pweza mpaka nilegee mtoto wa kike ukinitia mdomoni nitafunike bila tatizo.”
“Haya mama tangulia naja.”
“Ooh! Samahani shemu nitakusalimia nikirudi maana zimenipanda, natangulia mwenyewe gerezani kabla ya hukumu.”
“Hakuna tatizo shemu,” Shuku alimjibu huku akimeza mate kwa uzuri wa yule msichana.
Yule msichana ambaye mchanganya Shuku na kushindwa kupata jibu la moja kwa moja ni nani na alimuona wapi, alitembea kwa mwendo wa haraka kuwahi chumbani.
“Umeona kitu?” MJ alimuuliza Shuku.
“Nimeona huyu si..siii..”
“Si nini Shuku?”
“Namfananisha na Miss Tanzania?”
“Ndiye yeye hapa ndo kwa MJ kijana nayejua kuutumia ujana wake.”
“Mmh! Kaka sikuwezi.”
“Habari ndo hiyo, tutaonana baadaye si umeona mtoto alivyonipiga biti ngoja nikampe kipigo cha pweza.”
“Sasa akirudi kwa mjanja wake na kuombwa mzigo itakuwaje?”
“Jibu ameishajibu mbele yako.”
“Haya kaka mchezo mwema.”
“Asante.”
MJ alielekea chumbani na kumwacha Shuku akijiandaa kuzunguka nyumba kwenda kupiga chabo. Kwa mara nyingine Shuku alijiingiza kwenye mateso ya kujitakia baada ya kushuhudia MJ akitoa dozi nyingine nzito huku mtoto wa kike akionyesha umahiri wa kucheza mipira yote ya mwisho kwa umahiri mkubwa.
Moyoni alijishangaa yeye kuteswa na msichana mmoja wakati MJ kwa siku mbili wameshuhudia mademu wakali wakiingia na kutoka na kila mmoja akiwa mkali kuliko mwingine. Shuku alishuhudia uwezo ya yule msichana kwa kumkataza MJ asifanye lolote amuache afanya mwenyewe kila kitu. Yalikuwa mateso makubwa kwa Shuku kushuhudia nyonga laini ya msichana iliyozunguka kama kifuu cha nazi kwenye meno ya kibao cha kukunia(mbuzi).
Bila kutegemea mkono uliingia chaka na kuanza kujichua taratibu alijikuta mchicha ukikolea nazi na yai la mbuni kumpasukia mkononi nguvu zilimuishia na kujikuta akijilaza ukutani na taratibu aliseleleka chini huku akikisugua kichwa chake ukutani.
Akiwa chini amekaa miguu ikiwa haina nguvu mkononi kulikuwa na ute mwingi wa yai ambalo halikuwa la kuku bali la mbuni kwa wingi wa ute.

” ITAENDELEA KESHO HAPAHAPA

KAMA ULIKOSA SEHEMU ZA NYUMA SOMAHAPA
SOMA SEHEU YA KWANZA >>>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-01.html
SEHEU YA 2: >>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-02.html
SEHEU YA 3: >>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-03.html
SEHEU YA 4: >>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-04.html
SEHEU YA 5:>>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-05.html
SEHEU YA 6: >>www.2jiachie.com/2014/06/torojo-bamia-winga-teleza-06.html

: Utamu ndio kwanza unazidi kukolea. Bado sehemu kibao kuweza kuisha chombezo hili la aina yake . Kamwe usithubutu kusimuliwa hii simulizi ingia ujisomee mwenyewe hapa hapa uwanja wa simulizi pekee.

:: SHARE nyingi na COMMENT bila kusahau LIKE ndizo zinafanya Chombezo hili kuwa likitoka kila siku na kwa muda muafaka hapa www.facebook.com/2jiachie pekee. Hakika si ya kukosa hii.

Wanaotakiwa kusoma chombezo hili ni kuanzia +18 tu!
Hairuhusiwi kunakili. Au kutoa hata neno kuhamishia kwenye kitabu,tamthiliya ama wall ya facebook,twitter,whatsapp na sehemu nyingine pasipo idhini ya 2JIAHIE utashitakiwa!!.

TUKUTANE HAPA SIKU YA KESHO

No comments

Powered by Blogger.