ad

ad

JACK WOLPER: KANITANGAZE SIJAWAHI KULIA KWA SABABU YA MAPENZI

 
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze
kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia.
 Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper
Akizungumza Wolper ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’
alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume
hata iweje.
“Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume, akili yangu yote
 inaamini katika kutafuta maisha hivyo siwezi kujirahisisha nikamwaga machozi
kwa ishu za mapenzi,” alisema Wolper.

No comments

Powered by Blogger.