WEMA SEPETU NDIYE IJUMAA SEXIEST GIRL
STAA
wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la
Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu,
Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo usiku huu ndani ya Dar Live.
Shindano hilo lilikuwa linaendeshwa kupitia Gazeti Pendwa la Ijumaa linalochapishwa na kampuni ya Global Publishers Ltd.
Shindano hilo lilikuwa linaendeshwa kupitia Gazeti Pendwa la Ijumaa linalochapishwa na kampuni ya Global Publishers Ltd.
Post a Comment