NISHA BADO YUPO YUPO SANA
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’.
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa.kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni.
“Natambua mwanamke aliyetimia lazima aolewe, lakini kwangu bado niponipo sana jamani. Muda ukifika ndiyo itajulikana, lakini siyo leo wala kesho,” alisema Nisha.
Post a Comment