ad

ad

MTANZANIA WA KWANZA KUDHIBITISHWA KUWA MMILIKI HALILA WA FACEBOOK ACCOUNT HUYU HAPA


Flaviana Matata amekua mwakilishi mzuri wa Tanzania kwenye
 nchi mbalimbali alizofanya kazi kama Ufaransa, Hispania na 
Marekani ambako anaishi sasa hivi New York.
Flaviana amethibitishwa rasmi na facebook kwamba hiyo account

 yenye hicho kitiki hapo juu ndio account yake pekee na
halali hivyo ule utapeli ambao ulikua unafanywa kwa kutumia account 
nyingine feki za Flaviana utaishia hapa.

Flaviana anakua Mtanzania wa kwanza ninaemfahamu kuwa verified 

na facebook ambapo tayari kwenye account yake ya twitter yuko 
verified pia ambapo Watanzania wengine ambao wako verified
 twitter ni President Jakaya, Hasheem, Ay, mawaziri January 
 Makamba na Lazaro Nyalandu

No comments

Powered by Blogger.