MASOGANGE APINGA KUFUNIKWA MAKALIO
MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.
Walipopiga picha ya pamoja, Masogange alipinga baada ya paparazi wetu kumhoji.
“Hawezi kunizidi mimi, hatari wewe,” alijisifu Masogange kwa paparazi wetu.
Agnes Jerald ‘Masogange’
Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana kwa jina la Samia pande za Sauzi.Walipopiga picha ya pamoja, Masogange alipinga baada ya paparazi wetu kumhoji.
“Hawezi kunizidi mimi, hatari wewe,” alijisifu Masogange kwa paparazi wetu.

Post a Comment