JOKATE: SIJAPIGA PICHA ZA UTUPU
Sexy lady Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake.
Sexy lady Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi tofauti.
Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna
mitandao imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtumwingine na kudai
ni yeye.
Post a Comment