ad

ad

IRENE PAUL: TUMEBUMA KIMATAIFA

MAJANGA! Mtoto mzuri Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa licha ya wasanii wa filamu kujitutumua lakini wameshindwa kuvuka mipaka ya Kimataifa.

Akieleza masikitiko yake, Irene alimtaja Lupita:
“Inaniuma sana kumuona Lupita Nyongo amevuka mipaka ya Kenya kikazi, sisi tunashindwaje?” alisema Irene.

No comments

Powered by Blogger.