YANGA WAFIKA SALAMA COMORO
YANGA
SC imefika salama mjini Demoni, Comoro tayari kwa mchezo wa marudiano
Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji Komorozine
mwishoni mwa wiki.
Yanga iliyoondoka leo asubuhi, imetua nchini humo ikiwa na matumaini makubwa ya kusonga mbele, baada ya kuichapa Komorozine mabao 7-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Dar es Salaam Jumamosi.
Iwapo Yanga itahitimisha vyema kampeni yake hiyo, itakutana na mabingwa watetezi, Al Ahly mwezi ujao.
CHANZO NI BINZUBEIRY
Yanga iliyoondoka leo asubuhi, imetua nchini humo ikiwa na matumaini makubwa ya kusonga mbele, baada ya kuichapa Komorozine mabao 7-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Dar es Salaam Jumamosi.
![]() |
| Wachezaji
wa Yanga kutoka kulia Mrisho Ngassa, Juma Abdul na Haruna Niyonzima
wakiwa Comoro. Chini ni Mrisho Ngassa aliyefunga mabao matatu katika
ushindi wa 7-0. |
CHANZO NI BINZUBEIRY

Post a Comment