ad

ad

Ujumbe wa mwanadada Jacqueline Wolper iku hii ya leo ya Valentine

Leo ikiwa ni siku ile inayopendwa sana na wapenzi duniani - siku ya Valentine, mwanadada Jacqueline Wolper  ameamua kutoa ujumbe huu ambao sisi tunaona unamuhusu kila mmoja, yule mwenye mpenzi na hata yule aliye single kuhusu mahusiano.


Kupitia mtandao mmoja wa kijamii, mwanadada Wolper ameandika
“…Mapenzi magumu saana usipokua makini nakua mvumilivu kwa wanaume na wanawake itakua kila siku unabadilisha kama nguo..”
Happy valentines all...
Powered by Blogger.