NAY AMNUNULIA MPENZI WAKE NDINGA
BAADA ya kumaliza mgogoro wao, msanii wa muziki wa kizazi kipya
Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ anadaiwa kumnunulia gari kali
mpenzi wake aitwaye Siwema.
“Siwezi kuficha nampenda sana Siwema ndiyo maana nimempa zawadi ya gari, nilimuahidi nitampa zawadi lakini alikuwa hajui ni zawadi gani, nilipomfanyia ‘sapraizi’ ya gari hilo hakuamini,” alisema Nay wa Mitego.
Hivi karibuni Siwema alitundika picha ya gari hilo lenye rangi ya silva aina ya Toyota Lexus katika ukurasa wake wa Instagram akimshukuru ‘baby’ wake huyo.
Gari aina ya Toyota Lexus aliyonunuliwa Siwema na Nay.
Akistorisha na gazeti hili, Nay alisema aliamua kumnunulia mpenzi
wake gari hilo lenye thamani ya shilingi milioni 36 kwa sababu anampenda
na alimuahidi kumpa zawadi.“Siwezi kuficha nampenda sana Siwema ndiyo maana nimempa zawadi ya gari, nilimuahidi nitampa zawadi lakini alikuwa hajui ni zawadi gani, nilipomfanyia ‘sapraizi’ ya gari hilo hakuamini,” alisema Nay wa Mitego.
Hivi karibuni Siwema alitundika picha ya gari hilo lenye rangi ya silva aina ya Toyota Lexus katika ukurasa wake wa Instagram akimshukuru ‘baby’ wake huyo.

Post a Comment