WASTARA: MTAMUONA MPENZI WANGU SOON
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu hivi karibuni, Wastara
alisema hayuko tayari kuona watu wakimsingizia kutoka na wanaume
tofauti akiwemo Bon Bin Salim ambaye ni muigizaji mwenzake hivyo
atamuweka wazi ‘mtu’ wake.
“Nachukia sana kuona watu wanafuatilia maisha yangu binafsi badala ya
kazi, nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo
zinazohusu mapenzi, iwe ni Bond wanayemsema au mwingine,” alisema
Wastara.

Post a Comment