MNENGUAJI WA BENDI YA AFRICAN STARS ALILIA PENZI.
Mnenguaji wa bendi ya African Stars
Mandela juzi usiku alitoa mpya ya mwaka baada ya kulazimisha penzi kutoka kwa
dada nnoja aliyefahamika kwa jina moja la Zainab
Mara baada ya bendi hiyo kumaliza kufanya onyesho hilo majira ya saa tisa na nusu mnenguaji huyo alienda katika baa ya Uhuru Pic ambapo alimwita msichana huyo ili waondoke lakini kulitokea kama mtafaruku kwani msichana huyo alikataa katakata kuondoka na mnenguaji huyo.
Baada ya kuona hivyo mnenguaji huyo
ili mbidi atumie nguvu kumvutia ndani ya bajaji dada huyo ambayo haikuwa kazi
laisi ndipo mtafakuru ukazuka.
Hata hivyo dada huyo baada ya kupata
upenyo alichurupuka na kutoka mbio na kudandia bajaji ingine na kuondoka kwa
kasi.
Post a Comment