KAJALA APETA
Kajala Masanja.
Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia
huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu. CREDIT GPL

Post a Comment