AIRTEL YAMPOKEA ANDY COLE
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya
Manchester United Andy Cole akiwa sehemu ya VIP kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana usiku mara tu baada ya
kuwasili kwa mwaaliko wa kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania.
Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mbando (kulia) akimkaribisha
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole (kushoto)
mara tu baada ya kuwasili nchini kwa mwaaliko wa kampuni ya Mawasiliano
ya Airtel Tanzania . Kati kati ni Afisa Uhusiano wa klabu ya Manchester
James Turner. Picha na Mpiga picha wetu.
Mchezaji
wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole akikabidhiwa maua
mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) jana usiku kwa mwaaliko wa kampuni ya Mawasiliano ya Airtel
Tanzania . Picha na Mpiga picha wetu.
Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mbando (kushoto) akimuongoza
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole (katikati)
kuelekea sehemu ya VIP kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA)mara tu baada ya kuwasili nchini jana usiku. Picha na
Mpiga picha wetu.
Mchezaji
wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole akiwa sehemu ya VIP
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana usiku
mara tu baada ya kuwasili kwa mwaaliko wa kampuni ya Mawasiliano ya
Airtel Tanzania . Picha na Mpiga picha wetu.
Mchezaji
wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole (kushoto) pamoja na
Afisa Uhusiano wa klabu ya Manchester James Turner (kulia) wakikamilisha
taratibu zakupata hati ya kuingia nchini kwenye kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana usiku mara tu baada ya
kuwasili kwa mwaaliko wa kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania .
Picha na Mpiga picha wetu.
Mchezaji
wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole akiongea na waandishi
wa habari kwenye sehemu ya VIP , Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA) jana usiku mara tu baada ya kuwasili kwa mwaaliko wa
kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania . Picha na Mpiga picha wetu.
Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mbando (kulia) akitete jambo na
Afisa Uhusiano wa klabu ya Manchester James Turner (kushoto) mara tu
baada ya kuwasili kwa mwaaliko wa kampuni ya Mawasiliano ya Airtel
Tanzania . Picha na Mpiga picha wetu.
Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mbando (kulia) akimuelekeza
jambo Afisa Uhusiano wa klabu ya Manchester James Turner (katika) mara
tu baada ya kuwasili kwa mwaaliko wa kampuni ya Mawasiliano ya Airtel
Tanzania . Kushoto ni Picha na Mpiga picha wetu. Mchezaji wa zamani wa
Klabu ya Manchester United Andy Cole. Picha na Mpiga picha wetu.
Mchezaji
wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole (mbele) akitoka
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwelekea
hotelini alipofikia mara bada ya kuwasili nchini jana usiku. Nyuma yake
ni mwenyeji waka ambaye ni Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw.
Jackson Mbando . Picha na Mpiga Picha wetu.
Mchezaji
wa zamani wa Klabu ya Manchester United Andy Cole akiwa kwenye gari
tayari kuelekea hotelini mara baada ya kuwasili nchini jana usiku.
Anatarajia kufanya mkutano na waandishi wa habari leo asubuhi. Picha na
Mpiga Picha wetu..

Post a Comment