ad

ad

ZITTO KABWE AVULIWA VYEO VYOTE VYA KICHAMA!

Chadema kimemvua Zitto Kabwe vyeo vyote vya kichama kwa muda yaani Naibu Katibu Mkuu Taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Naibu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa kukiuka taratibu za chama.
Powered by Blogger.