ad

ad

SIMBA YANASA WAWILI

 Klabu ya Simba SC leo imewasajili wachezaji wawili ambao ni Awadh Issa kutoka Mtibwa Sugar na Ally Badru kutoka Canal Suez ya Ligi Kuu ya Misri!
Mwenyekiti wa Simba SC, Aden Rage (katikati) akiwa na wachezaji wapya Badru Ally (kulia) na Awadh Juma (kushoto) baada ya kusaini kuichezea Simba leo.
Powered by Blogger.