Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders. Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square. Joh Makini akilitawala jukwaa. Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao stejini. Kundi la Weusi likiongozwa na Joh Makini likishambulia jukwaa la Leaders Club. (PICHA NA MUSA MATEJA /GPL)
Post a Comment