NDOA YA MIKE, THEA YAVURUGIKA
NDOA ya mastaa wa filamu, Mike Sangu na Ndum- bagwe Misayo ‘Thea’ imevurugika baada ya kutokea hali ya kuzinguana kwa wawili hao chanzo kikidaiwa ni kukosekana uaminifu.
Chanzo cha habari hii ambacho ni rafiki wa Thea kilieleza kuwa, kutibuana kwa wanandoa hao kumekua kufuatia Thea kuhisi mwenzake anamzunguka.
Baada ya kupata taarifa hizo, Mike alitafutwa na alipoulizwa kuhusu ndoa yake kutibuka alisema: “Mh! Watu ni wambeya sana mimi na mke wangu tulitokea kutoelewana na si mambo ya meseji wala wanawake, mimi sina mambo hayo kabisa, siwezi kuongelea mambo mengi mpaka nitakapoenda nyumbani kwa mke wangu lakini kilichotokea ni cha kawaida tu .”
Thea hakuweza kupatika kuzungumzia ishu hiyo.Credit:GPL
Chanzo cha habari hii ambacho ni rafiki wa Thea kilieleza kuwa, kutibuana kwa wanandoa hao kumekua kufuatia Thea kuhisi mwenzake anamzunguka.
Siku ya Ndoa yao.
“Kimsingi hali si shwari, ndoa inawaka moto, Thea anamtuhu- mu Mike kuwa anamsaliti, chanzo ni hizi simu na siku hiyo mtiti ulipotokea, shosti alikwenda kwao na mpaka leo hii (Juzi Jumata- to) anasubiri wasuluhishwe,” kilidai chanzo hico.Baada ya kupata taarifa hizo, Mike alitafutwa na alipoulizwa kuhusu ndoa yake kutibuka alisema: “Mh! Watu ni wambeya sana mimi na mke wangu tulitokea kutoelewana na si mambo ya meseji wala wanawake, mimi sina mambo hayo kabisa, siwezi kuongelea mambo mengi mpaka nitakapoenda nyumbani kwa mke wangu lakini kilichotokea ni cha kawaida tu .”
Thea hakuweza kupatika kuzungumzia ishu hiyo.Credit:GPL


Post a Comment