MENEJA WA MeTL IRINGA AKWAPUA MAMILIONI
-MeTL Group watangaza zawadi nono kwa atakayefanikishwa kukamatwa kwake
Hati ya kusafiria ya Aamir Iqbal.
Kibali cha kazi cha Meneja huyo.
KAMPUNI YA MOHAMMED
ENTERPRISES TANZANIA LIMITED (MeTL) Makao Makuu inatangaza kwa umma wa
watanzania kwamba Meneja wa MeTL tawi la Iringa Mr Aamir Iqbal
anatafutwa na mwajiri wake kwa kosa la wizi wa mamilioni.
Mr
Iqbal (pichani juu) aliyekuwa Meneja wa tawi la MeTL Iringa anatuhumiwa
kwa kosa la kumwibia mwajiri wake mamilioni ya pesa yeyote
atakayewezesha kukamatwa au kutoa taarifa zake katika kituo chochote cha
Polisi zawadi nono itatolewa.
Tukio hilo lililotokea jana mchana Iringa limeripotiwa Kituo Kikuu cha Polisi Iringa na RB ya Polisi ni ref no. IR/RB/7229/2013.
Kampuni ya MeTL Group itatoa zawadi nono kwa yeyote atayefanikisha kukamatwa kwake.
Au piga simu namba: 0755 030 014 , 2118930/1, 0713 324 332, 0715 030 024
Post a Comment