KIBADENI, JULIO WATIMULIWA SIMBA
Julio na Kibadeni wameondolewa kazini
baada ya kamati ya utendaji iliyokutana jana kufikia uamuzi kwamba wawili hao
utendaji wao si sahihi.
Julio na Kibadeni.
Tayari Simba imekamilisha mazungumzo na
kocha mwingine mzungu, si yule Bobby Willliamson ambaye aliandikwa na gazeti
moja nchini kwamba ndiye kocha mpya wa Simba.

Post a Comment