HATAREEE…DOZI YA DADA NA KAKA NOMA SANA!
Wanangu inakuwa nini? Kama kawizi tupo kwa mahewa kukisanua. Ama nini? Vipi kipande hiyo? Hapa vumbi tu na ukifuata nyayo tunatembea na fagio ili kuzifuta.

Festi ngoja nitoe pole kwa makachaa wangu wanaopiga pepa ya nekta. Bati hivi wale wana waliofeli mwaka jana gavamenti imepanga kuwapeleka wapi? Tupa kule.
Tudei ngoja niwape stori moko ya bidada Tamara wa hapo kitaa cha kati Roki Site…Mwanza…Mwanza niajeee.
Huku na huku mtoto mzuri amekutana na Mpeke alipotimba Dar juzikati. Akaona isiwe kitu. Ngoja ashee aidia na mtu mzima si unajua dawa?
Shori anakuteli kuwa alizaliwa aloni kwa maza’ke. Bimdashi wake alikuwa moto wa kuotea mbali yaani mkare kinoma so baada ya mshua kudedi maza akaolewa tena.
Anakutonya kuwa hapo alipoolewa maza, huyo mdingi alikuwa kafiwa na mai waifu wake na walikua na makidi watatu, wote vidume. Shori alikuwa na akili kinoma klasi na kwa sababu pale homu ilikuwa ni kwa baba mwenye mkwanja mwingi so aliishi kwa raha kozi kila kitu kilikuwepo.
Katika wale mabraza zake wa kambo, wa kwanza alimzidi kwa eji ya miaka 7.
Trule wale wana walikuwa wanamlavu sana na yeye aliibuka hapo homu akiwa na eji ya miaka 7 na maza’ke hakuzaa tena kwa huyo mshua.
Akiwa shori mwenye eji ndogo alipendwa mle ndani na kutunzwa kama yai. Ilikuwa hakuna kumkorofisha. Akisema kwa mabraza zake kuwa kuna mtu kamzingua theni machalii lazima wafanye patroo na kumpa mtu kitu inauma.
Mbebi wa ukweli anaweka pleini kwamba alipofikisha eji ya miaka 16 alifanyiwa bonge la pati ya bethidei ya kiutu uzima. Anafunguka kuwa alipewa jifti za kufa mtu.
Mtoto mzuri alikuwa analavu muziki kozi braza mkubwa wa ile hausi naye alikuwa anapenda hiyo kitu so akajikuta amepata kampani. Alichokifanya yule broo ni kumkaribisha mtoto geto kwake na kuinjoi muziki mzuri.
Siku zikamuvu, maisha mazuri yakaendelea. Wani dei yule broo akamwambia mtoto anataka kumfanyia bonge la sapraizi. Alichokifanya jamaa aliaga kwa maparenti kuwa anampeleka sista’ke kwenye muziki. Wakaibuka klabu na kujiachia kwa bata ndefu.
Walipotoka klabu ndipo tatizo lilipoanzia. Msela alimshawishi mtoto mzuri wakazama wote geto.
Mtoto alikuwa hajamjua mwanaume so naiti nzima walihangaishana hadi wakapitiwa na usingizi.
Cha ajabu mtoto aliposhtuka usingizini akakuta tayari jamaa amefanya yake hivyo akawa anasikilizia maumivu.
Kama vipi msela alimuweka chini mtoto akamwelewesha mpango mzima, wakakubaliana iwe sekreti yao huku wakiendelea kupeana dozi kati ya dada na kaka hadi wakazoeana kama waifu na hazibendi.
Shori anasema chalii alikuwa anamlavu kupita maelezo theni na yeye akajikuta hivyohivyo hadi ikafika kipindi hata wale mabraza wengine wakitaka kuwa karibu na mtoto jamaa anamaindi.
Selaa alikuwa anamfuatilia mtoto kwa kila kitu hadi skonga. Jamaa alipanga siku moko kumuona sista anakuwa mtu f’lani katika jamii. Kuna taimu alikuwa akimpiga biti kuwa endapo atafeli klasi theni atamuacha.
Miaka mitatu leita jamaa alipata ajali akadedi papohapo. Shori alipopata niuzi hizo alilazwa wiki nzima.
Siku zikakatika. Mtoto anazidi kunywea tu kisa hajapata mtu wa kuziba pengo la yule kaka yake hasa linapokuja suala la malavu. Anakuteli kuwa alimpenda, anampenda na atampenda braza’ke hadi kiyama.
Mmenisoma wana? Kama vipi sii yuu neksti wiki.

Post a Comment