JESHI LA POLISI JIJINI LIMETHIBITISHA KUTOKEA KWA VIFO VYA WATU WATATU NA WENGINE 61 KUJERUHIWA KUFUATIA MLIPUKO
Kwa
upande wake Kamanda wa Ploisi wa Mkoa wa Arusha LIBERATUS SABAS
amesema, kufuatia tukio hilo wameanza uchunguzi kuwabaini waliohusika
ili wachukuliwe hatua kali za kisheria. Kwa ujumla tukio hilo la
kushtukiza limegusa hisia za watu wengi, kwa kuliona hilo Mkuu wa Arusha
Magesa Mulongo anatoa wito kwa jamii kuwa na subira na subira wakati
Jeshi la Polisi likifanya uchunguzi kuwabaini wanaohusika. Kufuatia hali
hiyo Msaidizi wa Askofu Jimbo la Kaskazini Padre TENGE amelazimika
kuharisha uzinduzi wa Kanisa hilo Jipya lililo chini ya Parokia ya Burka
ili kuhakikisha usalama wa waumini na majeruhi.
Post a Comment