BONGO FLEVA KUTOPIGWA KABISA SIKU YA LEO CLOUDS FM - TAMKO LA RUGE MUTAHABA.
RUGE MUTAHABA.
Mkurugenzi wa Clouds FM bwana Ruge Mutahaba leo amejibu tuhuma
zilizokuwa zikitolewa na Lady Jaydee kupitia mitandao ya kijamii kwa
siku kadhaa kwa kumshutumu kuharibu mziki wa kizazi kipya
Mkurugenzi wa Clouds FM bwana Ruge Mutahaba leo kaamua nyimbo za bongo fleva kutopigwa siku nzima kupitia Power Breakfast asubuhi ya leo,Kuonyesha kuwa hii ni redio ya watu binafisi wanaamua cha kufanya sio kupangiwa na mtu.

Post a Comment