Katibu
wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro
akizungunza na waandishi wa habari, leo katika ukumbi wa Sekretarieti,
Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Amezungumzia masuala mbalimbali
yaliyojiri kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichomalizika jana.
(Picha na Bashir Nkoromo)
Post a Comment