ad

ad

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED KWENYE MTOKO USIKU BAADA YA KUNYAKUWA TAJI LA UBINGWA WA 20.

Ni usiku wa saa 6, Chris Smalling na Phil Jones wakiongoza njia kuelekea Casino namba 235Wayne Rooney kulia naye alikuwepo siku hiyo ya juzi usikuAlex Buttner, Wayne Rooney na  Michael Carrick ndani ya gari lao usiku
Rio Ferdinand na  Anderson wakivinjali mitaa usiku wa saa 6Robin Van Persie naye ndani ya msafara huo!!! ambaye ndiye aliyeiwezesha kunyakuwa ubingwa huo.Chris Smalling akirudi kwenye vyumba vyao usiku huo na hapa ilikuwa mapema muda wa saa 4 kasorobo.
Powered by Blogger.