Safari ya ubingwa Jangwani yakolea siku ya jana Yanga ilishinda mabao 3-0 JKT Oljoro.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli lililofungwa na Simon Msuva dhidi ya JKT Oljoro katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jana. Yanga ilishinda mabao 3-0.

Post a Comment