Lulu hata hajielewi kabisa
MSANII wa filamu, Lulu, ametamka kwamba hakuwahi
kufikiria kwamba kwenye maisha yake atakumbana na majaribu makubwa kama
anayopitia kwa sasa.
Msanii huyo hivi karibuni aliachiwa kwa dhamana kutokana na kesi inayomkabili akituhumiwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa msanii maarufu, Steven Kanumba.
Lulu alikuwa katika simanzi kubwa wakati wa kumbukumbu ya kifo cha Kanumba iliyofanyika jijini Dar es Salaam na alishindwa hata kuzungumza kwa kirefu.
Msanii huyo alionekana mwenye mawazo na anayekumbuka vitu vingi kuhusu marehemu.
Sikuwahi kufikiria hata siku moja kama naweza kupitia katika mapito kama haya,alisema Lulu huku akilia kwa uchungu.

Post a Comment